Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 590
- 1,648
- Thread starter
-
- #21
Kuna ubaya gani kumwambia baba yako unampenda? Mtoto wako wa kiume akikwambia 'baba nakupenda' utahisi vibaya?Unamwambiaje mwanaume mwenzako unampenda?
Acha stori mtumie muamala na kumtakia siku njema ya Baba Duniani
We tuma hela hizo story za kwenye tamthilia zisitaki.Kuna ubaya gani kumwambia baba yako unampenda? Mtoto wako wa kiume akikwambia 'baba nakupenda' utahisi vibaya?
Hili zoezi lilifanywa siku ya baba duniani Kenya, ambapo wanaume waliambiwa wawapigie simu baba zao na kuwaambia wanawapenda. Wengine walikuwa hawajawahi hata siku moja kuwaambia baba zao wanawapenda.
Uko tayari kujaribu zoezi hili? Tuambie baba yako alijibu nini ulipomwambia unampenda.
Angalia mwenyewe baba zao walivyojibu ππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaahMwanaume kumwambia mwanaume mwenzio nakupenda:!!!
hata kama ni dingi anaweza akahisi dah hili toto lishaanza kua choko qmmqe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wengine tabasamu la baba hatujawahi kuliona,sasa ndo ujaribu kumwambia unampenda labda kuna jambo unalitafuta
πππ lakini alijisikia vizuri si ndio?Baba yangu amehisi nipo ICU nataka kukata moto. Badala ya kunipa jibu husika, akaniuliza vipi upo salama? Umepatwa na nini? Mzima wewe?
Duh.
HahahahahahaaaaaaaππππSiwezi kufanya huo upuuzi
πππππππKaniambia mm siyo mwanae
πππππππππππππππππππKiafrika mzee anaweza jua mwana sio riziki