Kwa wanaume, piga simu kwa baba yako umwambie unampenda kisha uturudishie majibu hapa

Kwa wanaume, piga simu kwa baba yako umwambie unampenda kisha uturudishie majibu hapa

Unamwambiaje mwanaume mwenzako unampenda?

Acha stori mtumie muamala na kumtakia siku njema ya Baba Duniani
Kuna ubaya gani kumwambia baba yako unampenda? Mtoto wako wa kiume akikwambia 'baba nakupenda' utahisi vibaya?
 
Hili zoezi lilifanywa siku ya baba duniani Kenya, ambapo wanaume waliambiwa wawapigie simu baba zao na kuwaambia wanawapenda. Wengine walikuwa hawajawahi hata siku moja kuwaambia baba zao wanawapenda.

Uko tayari kujaribu zoezi hili? Tuambie baba yako alijibu nini ulipomwambia unampenda.

Angalia mwenyewe baba zao walivyojibu 👇👇


CC Joshua Kamba mtoto wa Mzee King Majuto
 
kwa demu tu mi mgumu kutamka neno "Nakupenda" leo nimwambie mwanaume mwenzangu?

labda nimwambie"Nakukubali kinoma"
 
Mwanaume kumwambia mwanaume mwenzio nakupenda:!!!
hata kama ni dingi anaweza akahisi dah hili toto lishaanza kua choko qmmqe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah
 
Baba wa Kitanzania aambiwe na mwanae wa kiume "Baba nakupenda"

FB_IMG_1685891610493.jpg
 
Back
Top Bottom