Kwa wanaume tu: Fikiria umempenda mrembo, halafu yeye anakuita kaka, unafanyaje?

Kwa wanaume tu: Fikiria umempenda mrembo, halafu yeye anakuita kaka, unafanyaje?

Mbona kawaida hiyo na hamna cha ajabu, watu wanaitwa mjomba, baba mdogo na bado mrembo atazagamuliwa tu.

Wanawake hawana majina maalum ya kuwaita wanaume wanapokutana nao, sisi wanaume utaskia anamwuita mwanamke dada, mrembo au mama kulingana na umri wake.

Lakini wanawake huwaita vijana wa kiume "kaka" hata kama mwanamke ana umri mkubwa atakuita tu we kaka..

Kaka ni cheo tu.
 
Haya wanaume mkudjeeeeeee!

Imagine kuna mrembo unamfukuzia unampenda Sana, ukapata bahati ya Kuongea nae
Mrembo abakujibu vizuri alafu baadae anakuoga anakwambia, "Haya asante Kaka Kwaheri"

Hapo mwamba unafanyaje?!

Unamuacha si lazima akupende na ww.
Moja ya sifa ya mwanaume ni kukubaliana na matokeo, si wote watakupenda
 
Haya wanaume mkudjeeeeeee!

Imagine kuna mrembo unamfukuzia unampenda Sana, ukapata bahati ya Kuongea nae
Mrembo abakujibu vizuri alafu baadae anakuoga anakwambia, "Haya asante Kaka Kwaheri"

Hapo mwamba unafanyaje?!
kakubali tayari huyo.. meeting inayofata nabeba kipimio cha ngoma.. naenda mgonga
 
Bahati nzuri kwa hili mimi huwa nawachana live kuwa sina undugu nao, yaani nikikutana na binti mrembo akinivutia huwa namwambia live kuwa hayumo kwenye orodha ya ndugu zangu wala sina undugu nae ili nitimize azma yangu kwake.....hata wale wanaoniamkia huwa nawaambia live kuwa wanataka kuninyima nini......😆😆😆😂😂😂🤣🤣🤣🚬🚬🚬🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️
 
Haya wanaume mkuje!

Imagine kuna mrembo unamfukuzia unampenda Sana, ukapata bahati ya Kuongea naye.

Mrembo abakujibu vizuri alafu baadae anakuoga anakwambia, "Haya asante Kaka Kwaheri"

Hapo mwamba unafanyaje?
Huo mda wa kufukuzia manzi wazee mnaupata wapi .....mmi nikitaka manzi na mwita tuna piga vyombo engine ikisha kolea tuna book chumba tunaenda poozana nampa chake ......... kila mtu anachukua hamsini zake .....
 
Back
Top Bottom