Kwa wanaume tu: Fikiria umempenda mrembo, halafu yeye anakuita kaka, unafanyaje?

Kwa wanaume tu: Fikiria umempenda mrembo, halafu yeye anakuita kaka, unafanyaje?

Kaka tu? Mm hd kusalimiwa nilikuwa nasalimiwa na nikamkamata vzr tu..

Sasa baada ya kuwa nae nikamuuluza kwa nn alikuwa ananisalimia akaniambia ilikuwa ni moja ya defence mechanism yake
Kuzaliwa mwanaume, we ujue, Kila kitu kwako kitakuwa NI tabuuuu
 
Bora kuitwa kaka kuliko kuwekwa friend-zone.

Ukiitwa kaka ni rahisi sana kumpata mwanamke kimasihara masihara kuliko akuite rafiki yake.
Kuzaliwa mwanaume, we ujue, Kila kitu kwako kitakuwa NI tabuuuu
 
Huo mda wa kufukuzia manzi wazee mnaupata wapi .....mmi nikitaka manzi na mwita tuna piga vyombo engine ikisha kolea tuna book chumba tunaenda poozana nampa chake ......... kila mtu anachukua hamsini zake .....
Kuzaliwa mwanaume, we ujue, Kila kitu kwako kitakuwa NI tabuuuu
 
Hivi kwanini unapenda kuleta mada za kitoto, huna kazi ya kufanya?
Wewe mwenye KAZI ya kufanya unatafuta nini hapa labda?? Si ukazalishe.?
Sisi tuko Kwa break
 
Back
Top Bottom