Kwa wanaume tu: Fikiria umempenda mrembo, halafu yeye anakuita kaka, unafanyaje?

Kwa wanaume tu: Fikiria umempenda mrembo, halafu yeye anakuita kaka, unafanyaje?

Hivi kwanini unapenda kuleta mada za kitoto, huna kazi ya kufanya?
 
Haya wanaume mkuje!

Imagine kuna mrembo unamfukuzia unampenda Sana, ukapata bahati ya Kuongea naye.

Mrembo abakujibu vizuri alafu baadae anakuoga anakwambia, "Haya asante Kaka Kwaheri"

Hapo mwamba unafanyaje?
Hapo hakijaharibika kitu ndiyo kwanza mchezo unakuwa mtamu.

Sijui nitoe shuhuda?😂
Japokuwa akiitwa kaka a lesser man would have fled, but not me
 
Mbona kawaida hiyo na hamna cha ajabu, watu wanaitwa mjomba, baba mdogo na bado mrembo atazagamuliwa tu.

Wanawake hawana majina maalum ya kuwaita wanaume wanapokutana nao, sisi wanaume utaskia anamwuita mwanamke dada, mrembo au mama kulingana na umri wake.

Lakini wanawake huwaita vijana wa kiume "kaka" hata kama mwanamke ana umri mkubwa atakuita tu we kaka..

Kaka ni cheo tu.
Feelings skuhizi hamuangalii??
 
Bahati nzuri kwa hili mimi huwa nawachana live kuwa sina undugu nao, yaani nikikutana na binti mrembo akinivutia huwa namwambia live kuwa hayumo kwenye orodha ya ndugu zangu wala sina undugu nae ili nitimize azma yangu kwake.....hata wale wanaoniamkia huwa nawaambia live kuwa wanataka kuninyima nini......😆😆😆😂😂😂🤣🤣🤣🚬🚬🚬🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️
Kuzaliwa mwanaume, we ujue, Kila kitu kwako kitakuwa NI tabuuuu
 
Back
Top Bottom