Kwa wanaume tu: Fikiria umempenda mrembo, halafu yeye anakuita kaka, unafanyaje?

Hivi kwanini unapenda kuleta mada za kitoto, huna kazi ya kufanya?
 
Haya wanaume mkuje!

Imagine kuna mrembo unamfukuzia unampenda Sana, ukapata bahati ya Kuongea naye.

Mrembo abakujibu vizuri alafu baadae anakuoga anakwambia, "Haya asante Kaka Kwaheri"

Hapo mwamba unafanyaje?
Hapo hakijaharibika kitu ndiyo kwanza mchezo unakuwa mtamu.

Sijui nitoe shuhuda?πŸ˜‚
Japokuwa akiitwa kaka a lesser man would have fled, but not me
 
Feelings skuhizi hamuangalii??
 
Kuzaliwa mwanaume, we ujue, Kila kitu kwako kitakuwa NI tabuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…