Kwa wanaume tu: Fikiria umempenda mrembo, halafu yeye anakuita kaka, unafanyaje?

Kaka tu? Mm hd kusalimiwa nilikuwa nasalimiwa na nikamkamata vzr tu..

Sasa baada ya kuwa nae nikamuuluza kwa nn alikuwa ananisalimia akaniambia ilikuwa ni moja ya defence mechanism yake
Nakataa kusalimiwa na warembo kwa ajili hii hii ya kujenga defence mechanism.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…