Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 482
Atheeee ile kopi ulonitumia nafika page ya 100 tu mawani chali. Naenda kuchonga ingine pale kwa tabibu wa macho. Senk yuu saaaaaaa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo ya ufahamu tu niko ukurasa wa 14,301 mwandishi anasisitiza kuwa wanawake huwa wako sahihi wakati wote!
Kaka kitabu hicho wahitaji pick up kukibeba!
Sawa tu mkuu...Nikishindwa mimi kukisoma basi wanangu wataanza nacho nursery school.
Nambie tu nikakibebe....Labda bibi anaweza kupata bahati ya kuishi na DC baada ya kuongoka!! Hata hivyo nitakichoma moto kama kitakuwa na mwelekeo wa kuniharibu..I am sure Bibi ananiita Good Boy (sijui ndo wale Lizzy anawaita wapole....asiowataka???)!
Rev, I am not sure if this book will be helpful because as we (MEN) know, there are known knowns; there are things we know we know. We also know there are known unknowns; that is to say we know there are some things we do not know. But there are also unknown unknowns -- the ones we don't know we don't know....
Hahahahahah Have a great day 🙂
Ref Fr Usiuze Mbinu kwa hawa Viumbe ha ha haaa
I am proud of him jamani.... na anataka nimuite hivyo... Haya ni Sweet Kaizer, Umeridhika Rev? usije ahirisha kunipa kitabu....
MTM ni mimi hunielewi au Original Gaga?no way.. this is a comprehensive package for all women, including Lady Gaga's type... i personally think Rev has done a good job sharing this electronically
orait...CPU and co....leave this gal of mine alone...
She is my everithing u know.... and I will do everyting for her
sasa uombe asije akataka kichwa chako kama binti Herode....:A S 103:
On a serious note hili lijitabu hata ukilimaliza naona itakuwa bado tu....
hahahahahaha kwa kweli sie ni vinyongaTatizo ukikimaliza kukisoma utaambiwa wamesha evolve kuwa something else na kuwaelewa utapewa vol 2 ambayo ni mara 2 kwa ukubwa...sorry wacha nisiwaelewe tu.
ukipendwa unaleta nyodo, ukitemwa unalialia, ukijaliwa sana unasema hili *****, ukihudumiwa sana unasema huyu buzi , ukikosa vyote unasema huna bahati lol hamtuwezi hata msome hilo likitabu kazi ni bureheli weye umelijua hilo.