Kwa wanaume tu! Makosa haya 10 ya uvaaji yatakushushia "CV" yako, Yaepuke!

Kwa wanaume tu! Makosa haya 10 ya uvaaji yatakushushia "CV" yako, Yaepuke!

(1)Kuvaa shirt nyeusi lakini mgongoni inaonekana KIJIVU kwa kupauka(2)..kuvaa VIATU vilivyopinda kwenye soli (3)kuvaa ..kiatu mbele kumetoboka.(4)..kuvaa kiatu ukitembea kwenye soli kunaingiza michanga ndani ya kiatu..kwa kutoboka...(5)kuvaa MKANDA ukafunga na PIN..(6)NGUO kunukia DAWA YA MENDE badala ya PERFUME..(7)KUVAA nguo MOJA week bila kubadilisha HADI ZINAFANANA NA WEWE...(8)KUVAA SURUALI KIFUANI....kama LOKASA YA MBONGO...AU SHIMITA...
e9b02b1ba2b9addeb0763a0ebedb3cce.jpg
9cfcab5a819ce3ee98452d613f8e76e8.jpg
(9)kuvaa TAI NDEFU HADI MAGOTINI.(10)..kuvaa nguo bila mpangilio..TAI NJANO..MKANDA BLUE..KIATU CHEKUNDU...SURUALI KIJANI.... Yote hayo pia uliyasahau mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Bro kwa mtu anaye tafuta kazi au? Umesha ona Manji anavyo Vaa? MMBUNGE wa GEITA Anavyo vaa na bado CV zao zipo pale pale..ebu tupeane deal za kupata pesa nyingi apa tawn...ili tuandae kazi kwa watu wafanye siyo kutafuata kazi tufanye..i l mean watafuta kazi ndo ndo future Staff wetu....
Moja ya kupata kazi mzuri inaanzia na mwonekano wako. Huwezi amini unaweza kuwa hujasoma mwonekano wako ukakupa dili mzuri sanaaa, sasa Mzee endelea kupingana na kila kizuri madhara yako utatembea na vyeti mkononi Lakini unaoishana na dili za mjini. Mi sina elimu mzee ila naamini mwonekano wangu ndio umenipa kazi mzuri sanaaa na mshahara mzuri tu
 
1.Kuvaa mkanda uliochakaa licha ya kuvaa viatu vizuri, suruali na shati la kisasa kabisa!

2.Kuruka Ruksi wakati wa kuvaa mkanda. Daima hakikisha mkanda wako umepita kwenye ruksi husika kabla hujatoka nyumbani

3.Kuvaa Soksi tofauti/zilizochakaa au kutovaa kabisa Licha ya kuonekana nadhifu kwa nje

4.Kutokubeba kitambaa matokeo yake unapiga chafya na kujifutia mikono, kisha kwenye nguo!

5.Kujaza vitu mifukoni matokeo yake mifuko inatuna

6.Kuruka vifungo vya shati

7.Kuvaa nguo bila ya kunyoosha

8. Shati Kubwa-Suruali ya kubana mpaka inaacha “mali” yako yote nje, au Shati la kubana-Suruali kubwa!

9. Rangi ya t-shirt ya ndani kuwa na rangi ya tofauti kabisa na shati ya nje! Mbaya zaidi t-shirt inang’aa na shati linaangaza

10.Kuchomekea kwenye nguo ya ndani ukidhani umechomekea kwenye suruali!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Kuvaa soksi iliotoboka kwenye kisigino,ambapo wakati wa kutembea tundu linapanda kwa juu nyuma ya kisigino.
 
Suala la soksi acha Libaki option..
Pia si kila mtu anayekula MCHOMEKO anatokelezea kiivo, ni issue ya "Comfortability"., Km mtu hayuko comfortable na mchomeko Bsi atinge kwa Namna ingine
 
Back
Top Bottom