Kwa wanaume tu! Makosa haya 10 ya uvaaji yatakushushia "CV" yako, Yaepuke!

Kwa wanaume tu! Makosa haya 10 ya uvaaji yatakushushia "CV" yako, Yaepuke!

When Mark Zuckerberg asked about his clothing style he replied..i don't have time to choose what to wear or to iron for the sake of people's tensions... I always wear what is on top first in the bag........Ni sawa na kunipangia nisimalize kuku Ukweni [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]

Hahaha Lakini jamaa yupo vizuri,anavaa simple ila mavazi yana staha
 
Tafuta hela acha kuchunguza wanaume wamevaa nini!Mimi sijawahi kuona mtu ameruka loops na sioni tofauti kati ya mkanda wa ngozi uliochakaa na mpya!Ni dalili za maisha ya vijiweni kuchunguza watu wamevaaje!Acheni hizo!
Hizi ni dondoo za uvaaji tu mkuu, punguza povu kidogo!
 
Mbona hujazungumzia wanaofuga minywele
Wapo pia, ila kuna wanaofuga kwa minajili ya kuweka mtindo fulani aupendao..ila kwa wale wanaofuga bila sababu maalum siwaelewi
Wanaofuga kucha
Wana maana zao huenda lakini mi nijuavyo wafuga kucha wengi ni Dada/Mama zetu kwa ajili ya urembo...sasa hapa kwa mwanaume sielewi...
 
Ukiweka 1M mfukoni unatakiwa ukapimwe akili [emoji12]
sio kweli nakupa mfano hai naenda kuripa chaji za bandari labda ni laki 9 bank yao iko ndani bandarini unataka ni bebeje?kwenye bag,nchi yetu bado aiko kwenye mfumo mzuri wa malipo kwa njia za kisasa watu bado wanatembea mpaka na m5 njoo kwenye kazi zetu uone
 
Umenikumbusha jamaa yangu alikuwa hawezi kuacha kuruka ruksi maana kila akivaa suruali ruksi moja karuka.
 
Duh kama ulikuwa unaniandikia mm maana ukiachana na socks tofauti vingine vyote i did duh ngoja nibadilike
 
Back
Top Bottom