(1)Kuvaa shirt nyeusi lakini mgongoni inaonekana KIJIVU kwa kupauka(2)..kuvaa VIATU vilivyopinda kwenye soli (3)kuvaa ..kiatu mbele kumetoboka.(4)..kuvaa kiatu ukitembea kwenye soli kunaingiza michanga ndani ya kiatu..kwa kutoboka...(5)kuvaa MKANDA ukafunga na PIN..(6)NGUO kunukia DAWA YA MENDE badala ya PERFUME..(7)KUVAA nguo MOJA week bila kubadilisha HADI ZINAFANANA NA WEWE...(8)KUVAA SURUALI KIFUANI....kama LOKASA YA MBONGO...AU SHIMITA...
(9)kuvaa TAI NDEFU HADI MAGOTINI.(10)..kuvaa nguo bila mpangilio..TAI NJANO..MKANDA BLUE..KIATU CHEKUNDU...SURUALI KIJANI.... Yote hayo pia uliyasahau mkuu