Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
vidole vimetokeza nje ya soksi na alijua ni siri yake.Kwa nini sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vidole vimetokeza nje ya soksi na alijua ni siri yake.Kwa nini sasa?
When Mark Zuckerberg asked about his clothing style he replied..i don't have time to choose what to wear or to iron for the sake of people's tensions... I always wear what is on top first in the bag........Ni sawa na kunipangia nisimalize kuku Ukweni [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Mh kweli hapo lazima ashtukevidole vimetokeza nje ya soksi na alijua ni siri yake.
5?5,8,10 wanaboa zaidi
Pole kwa kula ban mkuuKumbe kutokuvaa soksi inaondoa unadhifu? Sio fasheni..??
Kitu gani?5?
kuna kitu uwa mnatafuta
pesa kwani pesa ya kitanzania nikiweka m1 tu mifuko si inatuna jamaniKitu gani?
Tena hii tabia alikuwa nayo sana Ally kiba
Ukiweka 1M mfukoni unatakiwa ukapimwe akili [emoji12]pesa kwani pesa ya kitanzania nikiweka m1 tu mifuko si inatuna jamani
Yeah lakini sidhani kama inafaa sehemu zote mkuuKuna fashion ya suruali njiwa na viatu bila soksi
Hizi ni dondoo za uvaaji tu mkuu, punguza povu kidogo!Tafuta hela acha kuchunguza wanaume wamevaa nini!Mimi sijawahi kuona mtu ameruka loops na sioni tofauti kati ya mkanda wa ngozi uliochakaa na mpya!Ni dalili za maisha ya vijiweni kuchunguza watu wamevaaje!Acheni hizo!
Wapo pia, ila kuna wanaofuga kwa minajili ya kuweka mtindo fulani aupendao..ila kwa wale wanaofuga bila sababu maalum siwaelewiMbona hujazungumzia wanaofuga minywele
Wana maana zao huenda lakini mi nijuavyo wafuga kucha wengi ni Dada/Mama zetu kwa ajili ya urembo...sasa hapa kwa mwanaume sielewi...Wanaofuga kucha
Kweli tycoon..ikichakaa unabadilisha tuKubeba wallet iliyochakaa....
AiseeHata kama uwe smart kiasi gani kama una miaka 25 alafu unakula kwa baba haisaidii
sio kweli nakupa mfano hai naenda kuripa chaji za bandari labda ni laki 9 bank yao iko ndani bandarini unataka ni bebeje?kwenye bag,nchi yetu bado aiko kwenye mfumo mzuri wa malipo kwa njia za kisasa watu bado wanatembea mpaka na m5 njoo kwenye kazi zetu uoneUkiweka 1M mfukoni unatakiwa ukapimwe akili [emoji12]
Hapana, simple hazivaliwi na soksi.Kuna zile soksi ndogo kwa ajili ya viatu kama hivyo...nadhani unazijua ee
Anhaa, kuna zile raba fulani hivi huwa wanavaa na soksi fupii..ila ni nadra sana kuonekanaHapana, simple hazivaliwi na soksi.