zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Smart people pekee ndio hupiga upara halafu wapiga upara wana character za tofauti sanaNyoone vipara,vinawafanya muonekane mna hela hata kama hamna🙄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Smart people pekee ndio hupiga upara halafu wapiga upara wana character za tofauti sanaNyoone vipara,vinawafanya muonekane mna hela hata kama hamna🙄
Nyoa para labda una kichwa kibaya sawa na mimi kuvaa pensi eti natamba nayo mtaani siweziUpara ndio siwezi kunyoa hata siku moja. Nina style yangu, sijui mnaita ngazi tatu...
Kila baada ya wiki mbili nanyoa.
😄Smart people pekee ndio hupiga upara halafu wapiga upara wana character za tofauti sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Binafsi sipendi hekaheka, nywele za brash zinanitosha halafu namwambia kinyonzi usichonge ili nywele zikiwa kubwa nakuwa kama mwalimu Nyerere.
Nikinyoaga fade kama ile ya kendrick,😮💨⚡️Kwa Wanaume.
View attachment 3210411
Unajuaje kama iyo style ya kunyoa inakunoga? Unaambiwaga na watu au unajiona mwenyewe kwenye kioo au ulimuachia kinyozi akuchagulie?
View attachment 3210412View attachment 3210413View attachment 3210414
Ushawahi jaribu nyoa para? Pank? Ushawahi jaribu acha ndevu?
, zinajikata zenyewe na kitana