Kwa wanaume /wanaume

Kwa wanaume /wanaume

Kwa wanaume na wanawake,
Mnawachukuliaje wanawake na wanaume wafupi??
Maana humu comments nyingi .
Mnawasema vibaya kwani wanashida gani??

Tuambieni tujue
Siku zote kitu kizuri hupata upinzani mkubwa. Wanaume wafupi ni mapambo ndio maana wanapata upinzani mkubwa. "Niliambiwa maneno haya na jamaa mmoja miaka kadhaa iliyopita"
 
Back
Top Bottom