Kwa wanaume /wanaume

Kwa wanaume /wanaume

Yote ni kazi ya mungu alivyo tuumba Mimi mwenyewe ni mfupi sana 😁😂 ila huyu chinga Intelligent businessman ni mfupi kama wale mbilikimo wa congo sijui kwa sababu anashinda sana kwenye mabibo huko kwao lindi na anapigwa sana makwenzi na wake zake
Naiweka hela 🤓, uki nizi una beba.
Niki kuzidi urefu ume umia🤣🤓
 
FB_IMG_1705249916171.jpg


Kwa mujibu wa utafiti, watu wafupi wanaishi muda mrefu
 
Na kama ni chibongew
Kama mweusi kibonge Hana shepu ni simtank, na kaivaa nguo au kijora Cha njano tunamwona kama school bus hizo ndogo.

Akiwa mfupi na mbishi+ mlalamishi anaunguruma kama gari aina ya gongo la chura ( Volkswagen) imekanyagiwa accelerator pedal.

Mfupi kibonge na piringi ya tumbo na white akawa gogo kitandani anakuwa kama nguruwe kalala, akiwa mweusi akaweka doggy pose kitandani anakuwa hippotamus aka kiboko.

Samahani kwa lugha nyeupe na nyeusi.
 
Back
Top Bottom