klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
khaaaa! mkiona zimepita dakika kumi sijapost kitu mjue nimezimia.Wakupigwa kibuti utakua wewe muuza chips....?We nakupotezea tu!
Hapo sasa....yani sijui nimfanyeje partner
Mpenzi... Pole, kweli una kazi nzito hapa....Dah!
Ndio maana nasema huwezi kumsema partner wako
Nikimpenda naambiwa nina hila
Kakupumbaza weee, hata page ya pili hujasoma ujue nani huyo anaedekezwa
Umedakia mwishoni tu ukamkuta anajitetea
Haya sasa
Ndo hila zangu hizi Asha D???
Nimesema miyeeeeee
Sipendwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii iiiiiiii hunielewi
Unadai eti hila, fungua jicho la tatu jamani
Au sema tu unamuogopa Shoga ako
CPU nawe unamfuatilia mno... wewe umesahau ulivyokua unamwaga sera kwa Asha D... unafikiri yeye ilikua haimuumi... vumilia kidogo onesha nawe upendo na ustahimilivu wako, onesha wewe ni mwanaume wa kweli wala huwezi nyang'anywa mwanamke... unafikiri sweetie mimi angekua anakata tamaa kama wewe ningekua bado niko nae??? si tayari ungekua usha mnyang'anya... Dah hebu FIGHT alafu mi niwe nakupa maji ya kunywa na vifaa....
Wana JF mnaona sasa jinsi Lizzy anavyohalalishwa kutoka nje
Mwanzoni kumpenda kwangu niliambiwa namfanyia ushe***
Baadae nikaambiwa namfanyia hila
Saa hizi naambiwa NAMFUATILIA MNOOO
Halafu kama vile haitoshi, nakumbushwa ya zamani eti YEYE ILIKUWA HAIMUUMI wakat mwenzangu anaendelea kula raha muda huu kulipizia yale ya zamani ambayo yalikuwa HAYAMUUMI?!!!!!!
Mweeee!
Mungu sikia tena kilio changu
Hawa ma-partner wanafugiana mabaya, wanaogopa kukanyana
Hata akifanya baya mwenzangu naambiwa nina hila, namfuatilia sana.
Mungu msaada wako pekee utaniponya
Nipe uvumilivu kipindi hiki kigumu cha waifu wangu kuhalalishiwa mabaya yake na wanadamu, hata yale afanyayo sasa.
Mungu wangu
Nisaidie
Kwa maneno sikuwezi... kwahiyo msaada wangu umekataa???
Mi sikutaka kongea na Kloro moja kwa moja sababu kuna propasal
anaandika na ina hela ndefu kuhusu jamaa moja ambae anataka
kujua ni kwanini anapewa asante wakitoka faragha na wazungu wake..
hivyo kwa upande mwingine kloro na Uporoto ni ma Boss wangu....lol
Bora umesema Mzuanda, naweza kuwa na mwanaume yeyote isipokuwa mchafu na asiyejiheshimu!! I just can't ......agrrrrrrrrrrrr!
My dia
Hela ndefu umezikuta duniani, utaziacha tu. Na isitoshe pesa zinaisha.
Hiyo pesa ndefu ukiipata haitaweza kununua UPENDO ninanolilia mimi.
Bora umekuwa wazi kwamba uko tayari kumuuza mke wangu ili upate hela ndefu
Asante Asha D
Mpenzi nisaidie
Lizzy wangu anauzwa hivi hivi naona
:help::help::help::help:
Lizzy si mwanamke wa kuuzwa, trust me anajua analofanya,if akikubali then ujue kuna kitu muhimu alikikosa kwako ndo kakipata kwa mwingine.....but hawezi kuuzwa hivi hivi....ila nitazungumza nae muda si mrefu,anieleze ni nini hasa kinamuhangaisha!!
Tatizo Asha D nae ana akili sana,asijenishinda ujanja ngoja niifuatilie hii kesi inakoelekea!! Worry not!
Akah! usiniuzie case mimi... kwani hajui analofanya???
Michelle a lady i admire with busara za kutosha na mkweli bila kupindisha
huwezi jua to what extent nimefurahi wewe kuja hapa na ukajionea...
Mwanaume ana gubu huyu la kuzaliana bila kupungua.... ukitaka upate
picha kamili nenda nyumbani kwa Bishanga mtaa wa hii ni sig yangu...
Kwa busara zako najua utaona ukweli na yupi mwenye makosa...
Nimejaribu hata kumbembeleza kua let us fight together lakini haoni
kazi kulalamika tu!!!
Lizzy si mwanamke wa kuuzwa, trust me anajua analofanya,if akikubali then ujue kuna kitu muhimu alikikosa kwako ndo kakipata kwa mwingine.....but hawezi kuuzwa hivi hivi....ila nitazungumza nae muda si mrefu,anieleze ni nini hasa kinamuhangaisha!!
Tatizo Asha D nae ana akili sana,asijenishinda ujanja ngoja niifuatilie hii kesi inakoelekea!! Worry not!
Hahhah.... Dearest i‘m glad to see you around!!Huyu Sipiyu siku hizi haeleweki kabisa....ye ni kulalamika tu na kumendea shemeji zake!!Nadhani ameshanichoka anatadita kisingizio tu cha kunipa talaka!!!
Partner afadhali we shahidi yangu unajua nilivyombembeleza alafu mtu mwenyewe habembelezeki!!Ngoja nikajipumzikie mimi.....maana kashanipa maumivu ya kichwa!!