Kwa wanaume

Kwa wanaume

Asha D
Si unaona partner wako anavyojirudi saa hizi baada ya kukuona upo?
Wewe sign out halafu view hii thread kama guest uone ninavyochambuliwa kama karanga za Iringa
 
Ndio maana nasema huwezi kumsema partner wako
Nikimpenda naambiwa nina hila
Kakupumbaza weee, hata page ya pili hujasoma ujue nani huyo anaedekezwa
Umedakia mwishoni tu ukamkuta anajitetea

Haya sasa
Ndo hila zangu hizi Asha D???
Nimesema miyeeeeee
Sipendwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii iiiiiiii hunielewi
Unadai eti hila, fungua jicho la tatu jamani
Au sema tu unamuogopa Shoga ako

CPU nawe unamfuatilia mno... wewe umesahau ulivyokua unamwaga
sera kwa Asha D... unafikiri yeye ilikua haimuumi... vumilia kidogo onesha
nawe upendo na ustahimilivu wako, onesha wewe ni mwanaume wa kweli
wala huwezi nyang'anywa mwanamke... unafikiri sweetie mimi angekua
anakata tamaa kama wewe ningekua bado niko nae??? si tayari ungekua
usha mnyang'anya... Dah hebu FIGHT alafu mi niwe nakupa maji ya kunywa na vifaa....
 
  • Thanks
Reactions: CPU
CPU nawe unamfuatilia mno... wewe umesahau ulivyokua unamwaga sera kwa Asha D... unafikiri yeye ilikua haimuumi... vumilia kidogo onesha nawe upendo na ustahimilivu wako, onesha wewe ni mwanaume wa kweli wala huwezi nyang'anywa mwanamke... unafikiri sweetie mimi angekua anakata tamaa kama wewe ningekua bado niko nae??? si tayari ungekua usha mnyang'anya... Dah hebu FIGHT alafu mi niwe nakupa maji ya kunywa na vifaa....

Wana JF mnaona sasa jinsi Lizzy anavyohalalishwa kutoka nje
Mwanzoni kumpenda kwangu niliambiwa namfanyia ushe***
Baadae nikaambiwa namfanyia hila
Saa hizi naambiwa NAMFUATILIA MNOOO
Halafu kama vile haitoshi, nakumbushwa ya zamani eti YEYE ILIKUWA HAIMUUMI wakat mwenzangu anaendelea kula raha muda huu kulipizia yale ya zamani ambayo yalikuwa HAYAMUUMI?!!!!!!

Mweeee!
Mungu sikia tena kilio changu
Hawa ma-partner wanafugiana mabaya, wanaogopa kukanyana
Hata akifanya baya mwenzangu naambiwa nina hila, namfuatilia sana.
Mungu msaada wako pekee utaniponya
Nipe uvumilivu kipindi hiki kigumu cha waifu wangu kuhalalishiwa mabaya yake na wanadamu, hata yale afanyayo sasa.
Mungu wangu
Nisaidie
 
Kwa maneno sikuwezi... kwahiyo msaada wangu umekataa???
Mi sikutaka kongea na Kloro moja kwa moja sababu kuna propasal
anaandika na ina hela ndefu kuhusu jamaa moja ambae anataka
kujua ni kwanini anapewa asante wakitoka faragha na wazungu wake..
hivyo kwa upande mwingine kloro na Uporoto ni ma Boss wangu....lol
 
Sisi mods tunatakiwa tuhakikishe usalama wa memba hata wanapokuwa PM, hili liko wazi katika JF rules. Halaf pia mimi ndio guardian wa Lizzy inabidi nihakikishe hakanyagi mawaya.

na mimi naomba unisaidie nisikanyage mawaya
 
Kwa maneno sikuwezi... kwahiyo msaada wangu umekataa???
Mi sikutaka kongea na Kloro moja kwa moja sababu kuna propasal
anaandika na ina hela ndefu kuhusu jamaa moja ambae anataka
kujua ni kwanini anapewa asante wakitoka faragha na wazungu wake..
hivyo kwa upande mwingine kloro na Uporoto ni ma Boss wangu....lol

My dia
Hela ndefu umezikuta duniani, utaziacha tu. Na isitoshe pesa zinaisha.
Hiyo pesa ndefu ukiipata haitaweza kununua UPENDO ninanolilia mimi.
Bora umekuwa wazi kwamba uko tayari kumuuza mke wangu ili upate hela ndefu
Asante Asha D
 
Bora umesema Mzuanda, naweza kuwa na mwanaume yeyote isipokuwa mchafu na asiyejiheshimu!! I just can't ......agrrrrrrrrrrrr!
 
Mpenzi nisaidie
Lizzy wangu anauzwa hivi hivi naona
:help::help::help::help:
 
My dia
Hela ndefu umezikuta duniani, utaziacha tu. Na isitoshe pesa zinaisha.
Hiyo pesa ndefu ukiipata haitaweza kununua UPENDO ninanolilia mimi.
Bora umekuwa wazi kwamba uko tayari kumuuza mke wangu ili upate hela ndefu
Asante Asha D

Akah! usiniuzie case mimi... kwani hajui analofanya???
 
Mpenzi nisaidie
Lizzy wangu anauzwa hivi hivi naona
:help::help::help::help:

Lizzy si mwanamke wa kuuzwa, trust me anajua analofanya,if akikubali then ujue kuna kitu muhimu alikikosa kwako ndo kakipata kwa mwingine.....but hawezi kuuzwa hivi hivi....ila nitazungumza nae muda si mrefu,anieleze ni nini hasa kinamuhangaisha!!
Tatizo Asha D nae ana akili sana,asijenishinda ujanja ngoja niifuatilie hii kesi inakoelekea!! Worry not!
 
Michelle a lady i admire with busara za kutosha na mkweli bila kupindisha
huwezi jua to what extent nimefurahi wewe kuja hapa na ukajionea...
Mwanaume ana gubu huyu la kuzaliana bila kupungua.... ukitaka upate
picha kamili nenda nyumbani kwa Bishanga mtaa wa hii ni sig yangu...
Kwa busara zako najua utaona ukweli na yupi mwenye makosa...
Nimejaribu hata kumbembeleza kua let us fight together lakini haoni
kazi kulalamika tu!!!
 
Akah! usiniuzie case mimi... kwani hajui analofanya???

Daaah
:biggrin1::biggrin1:

Kweli mwanamke hana ujanja mbele ya mwanamke mwenzake
Leo nimejionea
 
Michelle a lady i admire with busara za kutosha na mkweli bila kupindisha
huwezi jua to what extent nimefurahi wewe kuja hapa na ukajionea...
Mwanaume ana gubu huyu la kuzaliana bila kupungua.... ukitaka upate
picha kamili nenda nyumbani kwa Bishanga mtaa wa hii ni sig yangu...
Kwa busara zako najua utaona ukweli na yupi mwenye makosa...
Nimejaribu hata kumbembeleza kua let us fight together lakini haoni
kazi kulalamika tu!!!

Leo nimejionea
Daaah
 
Hahhah.... Dearest i‘m glad to see you around!!Huyu Sipiyu siku hizi haeleweki kabisa....ye ni kulalamika tu na kumendea shemeji zake!!Nadhani ameshanichoka anatafuta kisingizio tu cha kunipa talaka!!!

Partner afadhali we shahidi yangu unajua nilivyombembeleza alafu mtu mwenyewe habembelezeki!!Ngoja nikajipumzikie mimi.....maana kashanipa maumivu ya kichwa!!
 
Lizzy si mwanamke wa kuuzwa, trust me anajua analofanya,if akikubali then ujue kuna kitu muhimu alikikosa kwako ndo kakipata kwa mwingine.....but hawezi kuuzwa hivi hivi....ila nitazungumza nae muda si mrefu,anieleze ni nini hasa kinamuhangaisha!!
Tatizo Asha D nae ana akili sana,asijenishinda ujanja ngoja niifuatilie hii kesi inakoelekea!! Worry not!

Kaona ataharibu ushosti na partner, akaona kum-critisize shoga itakuwa soo
Akaona bora aendelee kulalia upande mmoja ili ushoga usiingie mchanga, hata kama upande wa pili ndo kuna makosa kiasi gani
:biggrin1::biggrin1:
 
Hahhah.... Dearest i‘m glad to see you around!!Huyu Sipiyu siku hizi haeleweki kabisa....ye ni kulalamika tu na kumendea shemeji zake!!Nadhani ameshanichoka anatadita kisingizio tu cha kunipa talaka!!!

Partner afadhali we shahidi yangu unajua nilivyombembeleza alafu mtu mwenyewe habembelezeki!!Ngoja nikajipumzikie mimi.....maana kashanipa maumivu ya kichwa!!

Daaah
Kweli sasa naamini huyu si wangu
Anaenda kwa kaka wa Asha D
 
Back
Top Bottom