Kwa wanaume

Kaona ataharibu ushosti na partner, akaona kum-critisize shoga itakuwa soo
Akaona bora aendelee kulalia upande mmoja ili ushoga usiingie mchanga, hata kama upande wa pili ndo kuna makosa kiasi gani
:biggrin1::biggrin1:



Daaah
Kweli sasa naamini huyu si wangu
Anaenda kwa kaka wa Asha D


Endelea kunitafuta ... naona tunako elekea utasema nimevunja ndoa yenu....
 
Reactions: CPU
Asha D
Si unaona partner wako anavyojirudi saa hizi baada ya kukuona upo?
Wewe sign out halafu view hii thread kama guest uone ninavyochambuliwa kama karanga za Iringa



Asante kwa kunipa hii akili.... sikuwahi kufikiria mtu assign out ili a observe kama visitor....
Very impressive..
 

The Following 2 Users Say Thank You to Michelle For This Useful Post:

Asha D (Today), Bubu Ataka Kusema (Today)​




Duuuh
Kumbe kuna watu WAMO ktk mada lakin HAWAONGEI?!!
 

Wow....Thank you Asha....i admire your intelligency and wisdom as well.....!!

nimerudia kusoma post za nyuma, CPU anajua anapendwa na Lizzy,sema anajidai kama halielewi hilo ili pengine kupata reaction na attention ya Lizzy na Asha....naona Lizzy amefikia hatua ya kuwaita wanga kama kina Kloro muuza chipsi kwa vyeo vyao but CPU anaendelea tu kusema Lizzy anaibiwa na kuuzwa...sasa CPU naomba ujiamini na uzidishe upendo,kitakachomuweka Lizzy kwenye maisha yako ni mapenzi,heshima,imani,kujali na zaidi mema mengi anayostahili kutoka kwako......!!!:A S-rose:
 
Dearest this is why me love you so much!
 

Wajanja hao mpenzi
Lizzy atawaita akina Kloro hata Bamia zilizopikwa lakin kwenye vitendo ni :A S-rose::A S-rose::A S-rose:
Yaani hayo majina wala yasikuzingue
Hata kwenye simu yake kam-save Uporoto kama MUUZA GENGE
Lakin kila akipiga simu huyo MUUZA GENGE anaenda kuipokelea nje, kwa nini sasa???
Wanaongea vitu gani ambavyo mi sipaswi kuvijua??
Fungua jicho la 3 mama
 



Mpenzi Michelle my admiration imeongezeka a thousand folds.... :clap2::clap2::clap2::clap2::clap2:

The Following 2 Users Say Thank You to Michelle For This Useful Post:

Asha D (Today), Lizzy (Today)​
 
Labda aje mkaka mwenzangu ndo atanielewa ninachosema
Maana naona mashosti wameshikana balaa
Either wanalindana au hawamjui/hawajui ujanja wa mwenzao
 
Kama umeweza kuniambia nikusaidie unaibiwa then naomba uamini namfahamu Lizzy na nina uwezo wa kujua uwezo wake kufanya maamuzi ukoje....unamkosea unapoona hawezi kuamua kile kilicho bora kwake,including mwanaume anayemfaa kwenye maisha yake....timiza wajibu wako kwake to the best of your ability,the rest mwachie yeye....usiwe mtu wa maneno sana,vitendo vimfanye Lizzy aamue ni wewe au Uporoto au Kloro muuza chipsi.....ha ha ha ha,akimaliza kuandika proposal utamkoma....tumia huu muda vizuri!!!:A S-rose:
 

Nakuelewa vizuri sana mpenzi
Ila jichunguze vizuri huko KUMFAHAMU kwako vizuri Lizzy
Sio yule wa kipindi kile namvisha pete

Yaani unanipa matumaini halafu ninachokiona kwake ni tofauti na maelezo yako
Ngoja nisiongee tena mie
Nimuache Lizzy aamue anavyotaka.
Kubembeleza anavyotaka Lizzy kumenishinda
Namruhusu tu aende anapoona atabembelezwa ajisikie vizuri
Nitabaki kuwa mshauri kwa vijana wengine
 
Nakutaka...nakupenda...nakuhitaji tafadhali njoo kwangu mume wangu mpenzi!!Usiwe na kiburi tafadhali!
 
kunyoa makwapa ni every after 2 weeks, kwa babu/bibi ni kila baada ya wiki mbili pia depends na muda wako. SOKSI NARUDIA TENA INAVALIWA MARA MOJA TU, chupi au boxer unabadilisha mara mbili kwa siku. Nikimaanisha kwamba ukivaa asubuhi wakati unaoga usiku inabidi ubadili uvae nyingine. kwa wengine tunalala bila boxer au chupi ili tupate hewa

walioowa na kuolewa wakiniambia wanalala na boxer au chupi, nitashangaaa sana!

Be blessed.
 
Nakutaka...nakupenda...nakuhitaji tafadhali njoo kwangu mume wangu mpenzi!!Usiwe na kiburi tafadhali!



:clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2:
 



Caroline Mabomu yako ni level ya nuclear... nikiwa karibu mpaka nijeruhiwe....lol
 
Soma hapo chini....they say, easy come easy go....playing hard to get is good sometimes...l.o.l

Nakutaka...nakupenda...nakuhitaji tafadhali njoo kwangu mume wangu mpenzi!!Usiwe na kiburi tafadhali!
asante dearest,ngoja tuone atakuja na lipi? manake nahisi ana jambo lake.....:dance::dance:
 
Nakutaka...nakupenda...nakuhitaji tafadhali njoo kwangu mume wangu mpenzi!!Usiwe na kiburi tafadhali!

Mi nina wivu mbaya
Mambo ya kuambiana na akina kloro sijui utawaogesha, mara utaoga nao mi hata sikuelewi
Huo utani mi siuwezi.
utani gani wa kutaniana na mwanaume eti ukaoge nae
Khaaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…