Kwa wanaume

Kwa wanaume

Nani kasema bila kompetishen??
Hata Asha D alale vipi, lazima ndundi zipigwe
Tena Asha D anapiga ka Asha Ngedere
Mimi bana upara wa michelle umeniturn on kweli, hata sielewi naandika nini.
 
Usione nilikaa kimya... nilikupotea dear,, naona umeamua unyoe upara... umepata contract ya modelling eeeh.... Enways good nite mpenzi and sweet dreams, naomba utaniagia na hao lovebirds.... By the way ulivyonyoa napo umependeza....

Ndio my dear nimepata contract ya modelling,kaniunganishia Kanye West.....nafurahi kusikia nikinyoa napendeza, manake nilikuwa nahofia bichwa hili....lolest!!!!! haya,mwenyewe nataka niage,ni muda wa watu wazima kulala,watoto kina Kloro wabaki hapa.....goodnight dearest and sweetdreams......Lizzy and CPU, dearest Asha says, 9t 9t and enjot the rest of the day....lol:A S-rose:
 
Nite nite dearest...sleep tight and sweet dreamZ!
 
Halaf michelle bana, yaani anamsukumiza Lizzy kwa mlalahoi CPU ili yeye apate chansi ya kujilengesha kwa faifu star klorokwini bila competition.
akili kumkichwa......CPU kama ni mlalahoi Lizzy atamtunza as uwezo anao....kuwa tu JF analipwa dola 1000 kwa siku....sasa wewe Kloro muuza chipsi maarufu mwenye ndoto za kuwa na Halle Berry ninauwezo wa kukufungulia mgahawa ukatulia pale ukatoa huduma zako za chipsi...so ngoma droo,hakuna ubaya!!:A S-rose:
 
Ndio my dear nimepata contract ya modelling,kaniunganishia Kanye West.....nafurahi kusikia nikinyoa napendeza, manake nilikuwa nahofia bichwa hili....lolest!!!!! haya,mwenyewe nataka niage,ni muda wa watu wazima kulala,watoto kina Kloro wabaki hapa.....goodnight dearest and sweetdreams......Lizzy and CPU, dearest Asha says, 9t 9t and enjot the rest of the day....lol:A S-rose:
gud naiti bana! niote nimevaa boxer
 
akili kumkichwa......CPU kama ni mlalahoi Lizzy atamtunza as uwezo anao....kuwa tu JF analipwa dola 1000 kwa siku....sasa wewe Kloro muuza chipsi maarufu mwenye ndoto za kuwa na Halle Berry ninauwezo wa kukufungulia mgahawa ukatulia pale ukatoa huduma zako za chipsi...so ngoma droo,hakuna ubaya!!:A S-rose:
Khaaa! Hollywood wakiona hii post hakyababu hupewi viza ya marekani.
 
tangu ubadilishe avatar unaongea mapointi kweli aisee
uzito wa nywele na kemikali ulikuwa unaharibu uwezo wangu wa kufikiri.....una lingine???

Hahahah...mapenzi hadithi nyingine dearest...mpaka mwenyewe najishangaa nilivyokua mpole!!Mhhh unamwona Kloro lakini...anasema eti unaogopa kompetisheni!!
kama unataka mafanikio,usimweke maanani Kloro.....:dance::dance::dance:
Mimi bana upara wa michelle umeniturn on kweli, hata sielewi naandika nini.
ha ha ha haaaaaaaaaa CPU kakupiga wajidai upara wangu,em rudi kwa topic
 
ha ha ha haaaaaaaaaa CPU kakupiga wajidai upara wangu,em rudi kwa topic[/QUOTE]
upara wako kwangu ni muhimu kuliko mada. tuendelee na upara tu
 
:A S 103::A S 103: siku utavaa boxer ndo siku utaondoka kwenye kuuza chipsi...nitakuota isiwe tabu....!!

si ndo kasema nimuote dearest....hana boxer,hela ya chipsi ndo hiyo anaendea internet cafe...priority namba one kwake ni JF:dance::dance:

Hahhahahha...haya kalale dearest mwache Kloro abaki kumkomoa mwenye cafe!
 
Ndio my dear nimepata contract ya modelling,kaniunganishia Kanye West.....nafurahi kusikia nikinyoa napendeza, manake nilikuwa nahofia bichwa hili....lolest!!!!! haya,mwenyewe nataka niage,ni muda wa watu wazima kulala,watoto kina Kloro wabaki hapa.....goodnight dearest and sweetdreams......Lizzy and CPU, dearest Asha says, 9t 9t and enjot the rest of the day....lol:A S-rose:

Please specify hapo kwenye rangi hahahahah lol! haya ulale unono, wasalimie wote wakupendao pia wafikishie salamu nyingi za kutoka kwa BaK. Thie watoto tunaendelea kucheza hapa.
 
:A S 103::A S 103: siku utavaa boxer ndo siku utaondoka kwenye kuuza chipsi...nitakuota isiwe tabu....!!

si ndo kasema nimuote dearest....hana boxer,hela ya chipsi ndo hiyo anaendea internet cafe...priority namba one kwake ni JF:dance::dance:

Khaaaa! Leo CV ishaborondwa vibaya sana. senk god Keren Happuch hayupo online.
 
Back
Top Bottom