Kwa wanawake tu: Jinsi ya kuboresha na kufurahia tendo la ndoa

Kwa wanawake tu: Jinsi ya kuboresha na kufurahia tendo la ndoa

Malalamiko yamekuwa mengi kina mama hatutaki kutoa unyumba visingizio kibao. Mara nyingi wanawake watu wazima from 35 hamu inakuwa hakuna .yaani tuseme upungufu wa nguvu za kike au nyreege
Sasa Kama wewe Una tatizo la kukosa hamu au south pole kunakuwa kukavu Fanya hili jambo rahisi tu utakuja kunishukuru baadae

Chukua bamia mbichi
Katakata vidogo
Loweka kwenye maji usiku Ku cha
Next day yawe ndo maji yako ya kunywa
Fanya hivo Mara kwa Mara hata ugegedwe na watu Mia wata slide tu .yaani hapo mume anaweza kukimbia nyumba yaani unakuwa ready 24/7

Pia ni dawa nzuri kwa wanaotaka twins
Naongea kwa uzoefu
Ukiwa na swali njoo pmView attachment 1900592View attachment 1900593
Hapo kwenye twins ndio imenitachi, nitamsisitiza mwenzangu. Napenda sana twins. Hivyo kama kuna njia yoyote jata kama haijathibitishwa kisayansi na haina madhara basi nitajaribu.. ila naamini mapacha hao watakua ni wa identical...fraternal ni hereditary...
 
I'm almost 40
Hakuna wakati
I want it
I need it
I initiate it
I love it
I celebrate it
I dance it
I sing it
I enjoy it
Exeeeeeeeeetra exeeeetraaa( in my Mwalimu wangu wa English voice)
Yani weka humo maneno yote kuelezea how LOVE MAKING is making Sense AFTER 35yrs kwa mwanamke(well ,pengine kwangu )
Uko kwenye heat madam
 
Hongeera.Ila sijasema wote Ila majority ni tatizo bna
 
U ur Just an exemption, ila tunaangaika nao sanaa unamwamsha ucku hana habari kwamba ana kazi ya kufanya, she can't initiate even a single day, women at 40 are sexully slow!!!!
Mpe dozi
 
U ur Just an exemption, ila tunaangaika nao sanaa unamwamsha ucku hana habari kwamba ana kazi ya kufanya, she can't initiate even a single day, women at 40 are sexully slow!!!!
Labda ana mawazo na madeni ya vicoba
 
Hamna kitu kinacho tu disappoint sie wanaumme kama kumkuta mwanamke mkavu, kumaliza inakua ishu, na kumuacha inakua ishu duh!!!!!!

Mi binafsi bora nikutane na mchuzi wa kumininika kuliko kukavu.

Kweli nimeamini kila mtu na taste yake kikubwa watu wajiamini tu na maumbile yao
 
Back
Top Bottom