Kwa wanawake tu: Jinsi ya kuboresha na kufurahia tendo la ndoa

Kwa wanawake tu: Jinsi ya kuboresha na kufurahia tendo la ndoa

Duh! Nimekoma kufungua uzi wa wanawake.. yaan nimeshindwa kumalizia ugali na dagaa zenye bamia hapa.. kbbke!!
 
Malalamiko yamekuwa mengi kina mama hatutaki kutoa unyumba visingizio kibao. Mara nyingi wanawake watu wazima from 35 hamu inakuwa hakuna .yaani tuseme upungufu wa nguvu za kike au nyreege
Sasa Kama wewe Una tatizo la kukosa hamu au south pole kunakuwa kukavu Fanya hili jambo rahisi tu utakuja kunishukuru baadae

Chukua bamia mbichi
Katakata vidogo
Loweka kwenye maji usiku Ku cha
Next day yawe ndo maji yako ya kunywa
Fanya hivo Mara kwa Mara hata ugegedwe na watu Mia wata slide tu .yaani hapo mume anaweza kukimbia nyumba yaani unakuwa ready 24/7

Pia ni dawa nzuri kwa wanaotaka twins
Naongea kwa uzoefu
Ukiwa na swali njoo pmView attachment 1900592View attachment 1900593
Matumizi mabovu kabisa ya fridge. Yaani mazagazaga ya bei cheap kuliko hata umeme wa siku moja wa hilo fridge
 
Mimi hula mlenda aisee my papuchi always wet had hushangaa shida na allergy na wanaume nawaza mambo yangu ya maendeleo
Najuta kufungua huu uzi nimedinda tayar mjue!!!!!
 
Mimi nataka nikutongoze naruhusiwa kuja pm
Malalamiko yamekuwa mengi kina mama hatutaki kutoa unyumba visingizio kibao. Mara nyingi wanawake watu wazima from 35 hamu inakuwa hakuna .yaani tuseme upungufu wa nguvu za kike au nyreege
Sasa Kama wewe Una tatizo la kukosa hamu au south pole kunakuwa kukavu Fanya hili jambo rahisi tu utakuja kunishukuru baadae

Chukua bamia mbichi
Katakata vidogo
Loweka kwenye maji usiku Ku cha
Next day yawe ndo maji yako ya kunywa
Fanya hivo Mara kwa Mara hata ugegedwe na watu Mia wata slide tu .yaani hapo mume anaweza kukimbia nyumba yaani unakuwa ready 24/7

Pia ni dawa nzuri kwa wanaotaka twins
Naongea kwa uzoefu
Ukiwa na swali njoo pmView attachment 1900592View attachment 1900593
 
I'm almost 40
Hakuna wakati
I want it
I need it
I initiate it
I love it
I celebrate it
I dance it
I sing it
I enjoy it
Exeeeeeeeeetra exeeeetraaa( in my Mwalimu wangu wa English voice)
Yani weka humo maneno yote kuelezea how LOVE MAKING is making Sense AFTER 35yrs kwa mwanamke(well ,pengine kwangu )
Sio kwamba it comes after 30?.

na mwanaume the older the better..he just knows.... kila kitu
 
Weye weye tajiri wa tanga a.k.a kungwi sasa mabinti wa kitanga sifa ziende kwao 👏👏👏
 
Mimi hula mlenda aisee my papuchi always wet had hushangaa shida na allergy na wanaume nawaza mambo yangu ya maendeleo
Mchagga Og tatizo dada zangu mnashindwa kubalance vitu.
 
Back
Top Bottom