Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,155
- 34,303
Na mimi nilitaka nishangae.Baada ya miaka 35 ipi that wanawake hupoteza libido?
Sio hii niliyopo mimi
Nikasema acha nisoma some huenda nipo mwenyewe wengine walishahama kwenye sayari hii wakaniacha.