Kwa wanawake tu: Ni dosari zipi za wanaume zinazowakera?

Kwa wanawake tu: Ni dosari zipi za wanaume zinazowakera?

kimoja hapo anakoroma mpaka unafikiria anakata roho.
Mimi ni mwanamme lakini nakushinda kwa kujua kinachowakera zaidi. Mapenzi siyo ngono. Hili ndilo kosa wanalofanya wabongo wanaume wengi. Hata kama atapiga goli kumi kila siku, bila mapenzi ni bure. Mwanamke anataka zaidi ya kitanda ili amheshimu mumewe. Trust me. Mwanamke anataka umwonyeshe mapenzi na siyo ubingwa wa kusugua. Kmoja kinaweza kumtosheleza na vitano vikamkera na akakuona kama fisi. Na neno ''mapenzi'' limefungasha maana kubwa.
 
Mimi nipo tayari uniite na unione bahili lakini vibunda vyangu na uchumi ubaki intact ili hata ukinichoka na wenzio wanaonimezea mate wakijua mi nina hela na hawajui mi bahili na wao wapate nafasi niwakule then wasanuke mi bahili wasepe and the circle continues........Men, please keep your money for yourselves....
🤣🤣Utafika mbinguni ukiwa umechoka sana mkuu
 
Kwa ufupi na kwa uchache sana kibamia kilimuangusha jamaa akapoteza pambano sababu kilikuwa kinachomoka nje mara kwa mara pindi alipokuwa anapambania kombe kwa kukata tako nzito nzito zenye ujazo nusu.

Alipigwa kofi la uso na demu(hapo ndo nilipo cheka)
Story yako nzuri ila mwishoni imegeuka chai hakuna mwanamke anayeweza kumpiga mwanaume kofi hata kama hajaridhika na show yako
 
Ila wanawake msisahau ya kwamba:
1) kwenda raundi zaidi ya moja inategemeana na umri pia, Kama mmeo umri umeenda hapo Kuna kuwa na Shida nyingi. Ujanani alikuwa anapiga tatu hadi nne, kuanzia miaka 45 huko anaanza kupiga moja hadi mbili je utamkimbia au kuchepuka?
2) chakula cha mme, hapa wanawake wanabeba dhamana kubwa kwa kuwa asilimia kubwa ndiyo waandaaji, badala ya kutukimbia mtusaidie wanaume kuwa vizuri
3)maradhi, hapa Kuna baadhi ya maradhi ukiwa nayo performance hakuna kabisa kwa mwanamme. Vidonda vya tumbo ni tatizo kubwa Sana,binafsi nime experience nikiwa Nina Shida ya minyoo, amiba au typhoid performance haiwi vizuri
3)mazoezi, bahati mbaya wengine nature ya kazi zao zinazowapa kipato au mazingira yao hayaruhusu kufanya mazoezi ama kupata muda wa mazoezi
4)tofauti za kimaumbile;kwa mtazamo wangu hizi ni chache kama mambo ya hapo juu yakifanyiwa kazi
 
ok vipi romance unapenda? na unapenda unyonywa na kulambwa maeneo gani?
Broo kama unatumia comment za humu ndani ili ujue jinsi ya kumshughulikia mpenzi wako, unakosea. Wanawake wametofautiana, wanawake wana sexual attributes tofauti, vitu anavyopenda huyu sio anavyopenda mwingine.

Ongea na mpenzi wako ujue anataka nn, hio ndo njia pekee nzuri ya kupata majibu sahihi.

(Utanirekebisha kama nimekosea)
 
Broo kama unatumia comment za humu ndani ili ujue jinsi ya kumshughulikia mpenzi wako, unakosea. Wanawake wametofautiana, wanawake wana sexual attributes tofauti, vitu anavyopenda huyu sio anavyopenda mwingine.

Ongea na mpenzi wako ujue anataka nn, hio ndo njia pekee nzuri ya kupata majibu sahihi.

(Utanirekebisha kama nimekosea)
wao wenyewe hawajui wanataka nini just imagine
 
Back
Top Bottom