Kwa wanawake tu: Ni dosari zipi za wanaume zinazowakera?

No mimi nasoma comments ili nijue watu hufikiria nini,ama kuhusu kujua nini cha kumfanyia mwanamke wangu,bro nisikie mimi nasoma sana vitabu,kila siku huwa nasoma kitabu,majarida na kuangalia chaneli mbalimbali za tv
 
Ujengewe sanamu pale karibu na stand ya magufuli.
 
Kweli umeongea point
 
Ujengewe sanamu pale karibu na stand ya magufuli.
usifanye mashara bro,mimi nasoma sana,na zaidi ya hapo Mola amenijalia kipaji kikubwa sana,naongea kwa ufasaha kiswahili,kiingereza,kifaransa,kijerumani,kilatini ambacho nilisoma seminari,kireno na kispaniola na kijaluo maana nimeishi kisumo kenya,nikifundisha maseno miaka 7
 
kwenye angle gani?
kwa engo hii,kila set ya watu,wawe wanawake kwa wanawake wanaongea na wenzao,au wanaume wakiongea na wanaume au wakiwa mchanganyiko,asilimia 70 ya maongezi yao ni sex,maisha ya unyumba,sex inachukua asilimia hizo nilizozitaja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…