Usilale suruhu ipatikane leo abaki na mmojaUsiku mwema
biriani yangu ushaipika; njaa nasikia mimi HawachiHivi baby tupo wangapi? Nambie nijue
Sijui hataHahaha mamy si umeniita [emoji3][emoji3][emoji3]
hajjat mbona ivo,ya Sakayo niachie Mimi.Usilale suruhu ipatikane leo abaki na mmoja
Hapana. Hii picha inaonesha si mtu anayejijali. Itakuwa si busara kutegemea mapenzi hapa.Akifanya usafi utamrudia?
we ndo kila kitu ujue mama, punguza wasi wasiMimi sina moyo wa kuvumilia maumivu
Nilikukosea nini jamaniii mimiwe ndo kila kitu ujue mama, punguza wasi wasi
Mbona unakimbiaSawa usiku mwema
Hivi unafikiri kwa umri huo ambao ameweza kuwa na kwake hajui usafi? Kumfundisha nikujisumbua tuNampa somo la usafi kwanza coz utalisafisha Leo baada ya siku mbili tatu utalikuta vile vile then kinachofuata usafi nae akishiriki
Nimekuachia huyu mwanaume kiroho SafiMbona unakimbia
Mie simtaki tena!Nimekuachia huyu mwanaume kiroho Safi
No one like you!! umeshikilia mrija wa oxygen yangu and you know this.jiamini kama zamani.Nilikukosea nini jamaniii mimi
Mi nashikilia ahadi yako tu hutakuja niliza mamaMie simtaki tena!
Leo najivua rasmi
Ndo hivyo mwanaume bachelor unakuta ana nusu mwaka hajawasha jiko lake siku anataka kujaribu kuwasha anakuta pako hivyo utakuta mwenye anashangaa imekuwaje anaanza kupiga tarehe kesho ntapiga usafi inakuwa kesho endelevu.....Na pia nionavyo ile itakuwa sehemu ya kutunzia vitu visivyotumika sio bure.
Maana palivyokaa ukijifanya kusafisha waeza maliza masiku unapaeka sawa na pasikae. [emoji3][emoji3][emoji3]
bi Aisha alikuwa mvulimu sana ujue hajjatNimekuachia huyu mwanaume kiroho Safi
Naomba nivunje ahadiMi nashikilia ahadi yako tu hutakuja niliza mama