Kwa wanawake tu, wanaume tunakaribishwa kuchomekea

Kwa wanawake tu, wanaume tunakaribishwa kuchomekea

Nampa somo la usafi kwanza coz utalisafisha Leo baada ya siku mbili tatu utalikuta vile vile then kinachofuata usafi nae akishiriki
Hivi unafikiri kwa umri huo ambao ameweza kuwa na kwake hajui usafi? Kumfundisha nikujisumbua tu
 
Na pia nionavyo ile itakuwa sehemu ya kutunzia vitu visivyotumika sio bure.

Maana palivyokaa ukijifanya kusafisha waeza maliza masiku unapaeka sawa na pasikae. [emoji3][emoji3][emoji3]
Ndo hivyo mwanaume bachelor unakuta ana nusu mwaka hajawasha jiko lake siku anataka kujaribu kuwasha anakuta pako hivyo utakuta mwenye anashangaa imekuwaje anaanza kupiga tarehe kesho ntapiga usafi inakuwa kesho endelevu.....
 
Back
Top Bottom