Geeez .. Mama jack unefuata nini huku !!! ?I can see[emoji1][emoji1]
Umewahi kusikia kisa cha "a man of few words"?Aidha unakubali au hautaki. Hizi mbio za kukimbizana kama njiwa zinakuwa nyingi kichizi halafu zinakera.
Nikikutongoza angalau zisipite siku tatu, sana sana labda nikikutokea Ijumaa kabla ya jumatatu nipe jibu la kueleweka, hutaki au unataka.
Tunapynguza kupotezeana muda na hisia zinaweza kupungua.
NB: PM pia mjitahidi kujibu kwa wakati masaa matatu ni mengi saana. Asanteni.....
It's nice to hear from you.
How're you?
jmn baba jack,kwani kuna ubaya mm kuendelea kuwepo hapa😢😢
Hahaa ... wewe nawe ni guru sana kwenye hii sekta .. ma-gentleman huwaga ni watu hatari sana wa kimya kimya kama Toxic
Sent using Jamii Forums mobile app
Am very okay.
Haven't seen you these 2/3 days at our place.
Hope all is well.
KhaaaaLakini mbona mimi macho yangu yanaona kuwa nyinyi ndio mnao endana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, we sikuwezi MkuuYeah hao wa 30s ndio wanapenda sana kuitwa mke wangu .mama watoto huwa hawatongozwi wewe muunganishie tu kwa kumuuita maneno laini matamu
kama ana watoto ili kumu win jitahidi sana kujifanya una wapenda watoto wake .. nunua zawadi wapatie watoto wake .. jitahidi kumuuleza kuhusu mipango yako chanya ya maisha ... hata kama ni ya uongo na kweli "..
Hao wa chini ya 23 ndio wanao penda kusikia kutongozwa ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, hakika sijui Mkuu ,najifunza toka kwakoHahaa unavyo jua kucheza na jukwaa utadhani CR7 vile ... mtu anaweza dhania haujui kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, ma -gentleman ndio wale wazee wa laki ya lunch tigo pesa?Hahaa ... wewe nawe ni guru sana kwenye hii sekta .. ma-gentleman huwaga ni watu hatari sana wa kimya kimya kama Toxic
Sent using Jamii Forums mobile app