Kwa wanawake: Wanaume tuliowengi tunapenda majibu ya moja kwa moja.

Kwa wanawake: Wanaume tuliowengi tunapenda majibu ya moja kwa moja.

Aidha unakubali au hautaki. Hizi mbio za kukimbizana kama njiwa zinakuwa nyingi kichizi halafu zinakera.

Nikikutongoza angalau zisipite siku tatu, sana sana labda nikikutokea Ijumaa kabla ya jumatatu nipe jibu la kueleweka, hutaki au unataka.

Tunapynguza kupotezeana muda na hisia zinaweza kupungua.

NB: PM pia mjitahidi kujibu kwa wakati masaa matatu ni mengi saana. Asanteni.....
Umewahi kusikia kisa cha "a man of few words"?
 
Hahaa ... wewe nawe ni guru sana kwenye hii sekta .. ma-gentleman huwaga ni watu hatari sana wa kimya kimya kama Toxic

Sent using Jamii Forums mobile app

Old schools techniques and then uki integrate na new age technology (hapa nazungumzia baada ya simu kuja) hukwami sana.

Ingawa kwa umri wangu sasa hivi haya mambo yameshapita.
 
Yeah hao wa 30s ndio wanapenda sana kuitwa mke wangu .mama watoto huwa hawatongozwi wewe muunganishie tu kwa kumuuita maneno laini matamu

kama ana watoto ili kumu win jitahidi sana kujifanya una wapenda watoto wake .. nunua zawadi wapatie watoto wake .. jitahidi kumuuleza kuhusu mipango yako chanya ya maisha ... hata kama ni ya uongo na kweli "..

Hao wa chini ya 23 ndio wanao penda kusikia kutongozwa ..

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, we sikuwezi Mkuu

MTC | 101| [emoji769]
 
Back
Top Bottom