Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Bye!nawaacha na uzi wenu!usinikwot tena!Kumbe ni vizur twende sawa tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bye!nawaacha na uzi wenu!usinikwot tena!Kumbe ni vizur twende sawa tu
Nimefunga kweli Mtani. Ahsante tushapoa na kwa sasa tunaganga ya VPL sasa.
Ndio Kaka. 😅😅😅Yako umeifunga shadeeya
Hawajui tuu adha ya PM, mimi huwa nakomaaga nao hivyo hivyo tuu!Dada wanasemaga eti ukitokewa kwani huwezi kukataa na kusema ushawahiwa?
Pia nasikiaga wengine wanasemaga eti si kila anayekuja huko anakuja kwa ajili ya mtongozo eti hivyo ikaage tu wazi. [emoji1787][emoji1787]
I believe you kwa kwaHaijafungwa 😊
Wanawake wapo wanao funguaUkimaanisha nini ndugu Kwamba Ke wanafungua au ndio wanapotezea hizo kauli na kuendelea na makufuli yao?
Au unasemea mwanaume mwenye uwezo wa kuyasema hayo jukwaani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Samahani mkuu, kwani niliwahi kukutongoza huko PM..!!??
Ooooh. Sawa.Hakuna mwanaume mwepesi
Ila
Wavulana ndio wepesi
Na ujue kuna tofauti ya mwanaume na mvulana
Mwanaume hawezi kukubali kuwa mwepesi
Acha kututisha basi au ndio unataka kusema wewe ni sehemu ya walio funga pmBye!nawaacha na uzi wenu!usinikwot tena!
Nimefunga kweli Mtani. Ahsante tushapoa na kwa sasa tunaganga ya VPL sasa.
Atleast tungekuwa tunachat vya maana mzee bba...!niacheAcha kututisha basi au ndio unataka kusema wewe ni sehemu ya walio funga pm
Ewaaaa!!! Sawa sawa kabisa Mtan.Mimi sina wasiwasi na kufunga kwako, najua siku nikitaka tujadili mambo yetu private nakutafutaje.
VPL sindikizeni tu, bingwa anajulikana.
Asante nduguOoooh. Sawa.
Ewaaaa!!! Sawa sawa kabisa Mtan.
Mpaka sasa Mtani bado hasa baada ya Mwadui kuwastopisheni juzi hapo muombee tu viporo tuvipoteze walau tukiwa mechi sawa muwe angalau mumetuzidi kwa Points hata tano.
Na kweli sijawahi kuona umefunga ya kwako jirani. Safi sana. 👏👏👏Hawajui tuu adha ya PM, mimi huwa nakomaaga nao hivyo hivyo tuu!
Sio kweliWote wanaokuja pm lazima watongoze
Dahhh...
Pole sana comrade, maana hata mimi ni muhanga mkuu wa hili linalo kusibu.
Yaani tangu nijiunge humu Jf, sijawahi kubahatika hata onetime kupata mawasiliano ya huko PM kwa walimbwende wa humu aiseeee
Ndugu hebu wacha uchokozi. 😅😅😅Acha kututisha basi au ndio unataka kusema wewe ni sehemu ya walio funga pm