Kwa Wanayanga: Nini Kifanyike ili Yanga icheze Fainali ya CAF Champions League msimu ujao

Hao wachezaji wapo ila bei yake sasa...ndio kizingimkuti.

Klabu yako bado haina hela..tuongee ukweli..tusiwe wanafki..

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 
Hakuna hata mmoja humu anaesema mshabiki milioni 15 Kila mmoja achangie laki 100 zipatikale 1,500,000,000,000 trillion 1.5 kusajili safu za ushindi.

Ni Hoya Hoya tu.
 
Simba Sc kacheza na Wydad na hakupigwa hizo 4, aje kupigwa na hao walioko mkiani Algeria?

Tofauti na ile penalty hakuna la maana mlilofanya jana.
 
Simba Sc kacheza na Wydad na hakupigwa hizo 4, aje kupigwa na hao walioko mkiani Algeria?

Tofauti na ile penalty hakuna la maana mlilofanya jana.
Ulicheza na Azam, Nangwanda kule, vipi ulishinda? Hata kikombe cha Ghahwa hamjapata.
 
Simba Sc kacheza na Wydad na hakupigwa hizo 4, aje kupigwa na hao walioko mkiani Algeria?

Tofauti na ile penalty hakuna la maana mlilofanya jana.
Finalist kaingiza dola milioni moja na bingwa kaingiza dola milioni mbili

Kuhusu bajeti ya usajili; itakuwa kituko mwanamichezo wa bongo kuamin kuwa tunaweza kucompete kusajili quality players na waarabu, wakati sisi tunasajili kwa bilioni moja au mbili kikosi chote, al ahly wanasajili mchezaji mmoja kwa bilioni10

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Yaan wale hawana bahati kabisaa, msimu wa 4 huu wanaishia Robo na nusu, afu kikosi chao ni boraa sanaaa.
Unapozungumzia champions league ili ucheze nusu fainali unalazimika kumtoa mmoja kati ya wydad, esperence, al ahly na mamelody

Na ili ucheze fainali utalazimika kumtoa kat ya al ahly na wydad hatua ya nusu fainali

Sasa je, unawajua vizur hawa shughuli yao wakiingia hatua hizi za mtoano

Kama hujawah kukutana nao katika hatua hizo muulize shalulile atakusimulia

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Ujinga mwingine tulionao ni huu, "japo tumewafunga lakini chenga tumewalamba"

Kauli hii iliwah kutamba sana kipnd flan

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Kijana fanya kitu kutokana na uchumi wako unavyokuwa,Al Ahly wana uchumi mkubwa wana resources kibao na mashabiki wao wana isupport timu yao kwa michango sio kama kwetu,oya oya nyingi michango hatutoi.

Sometimes sio lazima usajili wachezaji wa bei ya ghali ndio upate mafanikio, kama una maskauti wazuri unaweza pata wachezaji wazuri kwa bei ya kawaida ambayo vilabu vyetu vina imudu na wakacompete vizuri na wachezaji wa Al Ahly.

Kwani FC Porto ilichukua UEFA na wachezaji wa aina gani? Leicester imechukua EPL na wachezaji wa aina gani tuachane na upuuzi wa kamati za usajili wanao vizia 10%.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…