Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna yule Felix Kinzubi wa Tp Mazembe .angepatikana ingekua poa sanaNimesikia Tumisang Orebonye anaenda Simba
Mkuu yape unafuu maskio yako yatachakaa kwa kuyasikilizisha kila keleleNimesikia Tumisang Orebonye anaenda Simba
Na nyinyi mpangiwe wanaoshika nafasi ya sita kina Raja anawatoshaMpangiwe na zalan tu mechi zote.
Yaan wale hawana bahati kabisaa, msimu wa 4 huu wanaishia Robo na nusu, afu kikosi chao ni boraa sanaaa.kuna makosa madogo wanafanya ni kama wana overconfidence but still ni team bora sana!
Haswaaaah, mpira ni uwekezajiiii.pesa mpira ni iwekezaji.
Tuwekeze nguvu, uchumi, maslahi kwa wachezaji, na miundo mbinu bora ya vifaa vya michezo, viwanja, hostel, etcUnadhani nini Kifanyike na Sisi pia tuweze
Mamelod sijui hata walikosea wapi kwenye Champs league, yaan wanatokaa vizuriii wakifika nusu eti wanatolewa, afu unaweza kuta team hiyo ilikutana wakiwa makundi na aliwachapa nje ndani, lakini ikifika Robo au nusu wanatolewa wao.mamerod.wanacheza.mpira.wa.mtaani
Lazima aondoke mmoja hapo. Hasahasa Mayele sioni akibakiWampe Nabi mahitaji anayo yataka,wamwachie yy apendekeze wachezaji wa kiwasajili na mwisho viongozi waache ubahili, hela ambayo Yanga kaingiza kwenye michuano hii ina karibia dola 3m,inatosha kufanya usajili wa wachezaji hawa 3-5 wakubwa na nyingine tufanyie mambo mwengine.
Tukifanikiwa kumbakisha Nabi,Mayele na Diara ,tutakuwa hatari sana.
Mechi ya Al hilal zote 2 yanga ndo walicheza vzr kuliko Al hilal tuwe wakweli .Tatizo la Yanga miaka yote ni kutokuwa na play makers. Dribblers.
Wafanye usajili wa Dribblers wawili..defender mrefu mmoja au wawili wa kuruka aerial balls na second strickers wawili.
Sidhani kama mayele atabaki msimu ujao.
Yanga michuano yote haijaweza kucheza katikati hata kidogo..hao akina sure boy hawana maajabu ya kushindana championship..kama malumo gallants tuu waliwasumbua vile.
Alafu wachezaji wafundishwe mambinu magumu wayaweze.
Kukaba kienyeji na counter hazikupeleki popote champions league.
Ndio maana waliaibishwa na al hillal ya sudan
Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
Haitatokea tena ndugu"Yanga hawajafa KIUME wala hawajafa KISHUJAA.
Vita inapofika MWISHO wanajeshi wote—walioshinda na walioshindwa—hurudi nyumbani wakiwa HAI. Waliokufa ni wale ambao hawakufika mwisho wa mpambano.
Yanga HAWAJAFA kabisa. Wamefika mwisho wa mpambano na sasa wanarudi nyumbani wakiwa HAI." Maundu Mwingizi
Kwanza niipongeze timu ya Yanga Kwa kufika Fainali ya Kombe la shirikisho barani Afrika, hii ni mara ya Kwanza Kwa timu ya Tanzania kufika hiyo hatua kubwa kabisa. Tumekua tukishuhudia timu za kaskazini na walau Kwa ukanda huu wa kusini mwa jangwa la Sahara ni timu za Congo na Afrika kusini pekee ndo hua zinafika hiyo hatua.
Hii sasa italeta hamasa kuelekea msimu ujao. Kikubwa tujipange kuboresha kikosi. Viongozi wafanye usajili kulingana na matakwa ya mwalimu Kwa kuzingatia nafasi zinazopwaya....
Hakika tulikua na msimu Bora Sana, na tumepata mafanikio makubwa Sana lakini tunatakiwa kufanya makubwa zaidi.
Karibu mwananchi mwenzangu tujadili maboresho na mapendekezo ambayo tunapaswa kufanya ili msimu ujao tufike Fainali ya CAF Champions League...
View attachment 2645534View attachment 2645536
Aziz ki mtoe kabisaa na usimtajee, yule ndo aliharibu mfumo wenu wote janaa, sijui kwann Ali ingia. Yaan anapoteza mipira kizembe anaporwa kiwepesi afu hajui kukaba au kurudisha mpira alio porwa,Mechi ya Al hilal zote 2 yanga ndo walicheza vzr kuliko Al hilal tuwe wakweli .
Ila ukweli una baki pale pale viungo wa yanga kama sure boy sio wa kuwategemea kbsa mfano mudathir ni mzur kukaba tu ila hana ubunifu, na pia sure akikutana na team inayokaba kwa nguvu utamktaa kwasababu kwanza ni mchezaji ambye hana first touch nzuri, anahitaji kupokea mpira akiwa ktk nafas kubwa bila kubugudhiw sas mechi za ushindan lazma apoteze tu mipira.
Kiufupi pale yanga wachezaji wa kati wenye first touch nzuri ni aucho, bangala na aziz ki japo aziz anazingua
Mpira pesa kaka,kama Yanga wakimpa mzigo na wakaelewana anaweza akabaki, hamna mtu anayecheza mpira kwa kufuata mapenzi.Lazima aondoke mmoja hapo. Hasahasa Mayele sioni akibaki
Good! seems upo vizuri upstairs mpira ni uwekezaji kama biashara nyingine kudos!!!Tuwekeze nguvu, uchumi, maslahi kwa wachezaji, na miundo mbinu bora ya vifaa vya michezo, viwanja, hostel, etc
Mtibwa, Namungo, KMC, Azam hao wote wamekusumbua na umeshindwa kuchukua Ligi kuu, FA cup, Ngao ya jamii nk.Zalan na wale marumo gallant ndio wameleta fujo zote hizi lets see next season.
Yeaaaaah!!!Good! seems upo vizuri upstairs mpira ni uwekezaji kama biashara nyingine kudos!!!
Upo sahihi. Waarabu wanajua fitna..tena ambazo tunaona ulaya zikifanyika pia. Na washajua watu weusi wanapanikigi au kutoka mchezoni kwa vitu vidogovidogo kama hivyo.hata wachezaji wa kaskazini(waarabu)wanajua kumzonga refa.refa anajikuta anaweka tuta au faulo au kubadili maamuzi kwasababu ya kuzongwa zongwa tu wachezaji.