Wanashindwa kuthibitisha kuwa timu inachoka. Kama ingekuwa inachoka kipindi Cha pili huenda Yanga ingekuwa inafungwa kipindi Cha piliYote kheri tu, as long as hamna timu iliyofanikiwa kuifunga yanga walau goli moja hata hicho kipindi cha pili ambacho wanasema timu inachoka.
Ndipo hapo ushahidi kuwa timu inachoka unakosa mantiki.
Of course. Italeta maana pale ambapo timu imeshinda magoli mawili na zaidi ila sio goli moja.Nadhani huu mfumo wa kocha niwakubadili yaani timu ikishapata goli moja inaridhika na wakati ina nafasi yakushinda magoli mengi zaidi kitu ambachokinaweza kuathiri matokeo ya timu dakika za mwishoni
ni mbinu za kiufundi, ingawa sio kwa ajili ya mechi ijayo kama ulivyosema bali kwa ajili ya kupata matokeo katika mechi hiyo hiyo husika. Ni wakati wetu wa kuvimba, anayesema tunakata pumzi anajidanganyaUkweli ni upi, Yanga inalinda nguvu zake kipindi Cha pili ili kujiandaa na mechi ijayo hasa baada ya kushinda kipindi Cha kwanza au Yanga inakata punzi kipindi Cha pili?
Nadhani shida sio mfumo wa kocha bali wachezaji wa Yanga kushindwa kuzitumia nafasi zinazotengenezwa. Yanga Ina uwezo wa kupata magoli 3 kwenye kipindi Cha kwanza kama nafasi zote zingetumika vizuri. Yacouba peke yake anapoteza nafasi 2 hadi 3 za kufunga magoli, Faisal 1 hadi 2, na Mayele 1. Kama watarekebisha tatizo la kupoteza nafasi mfumo huu wa Nabi utawatesa wengi. Mnafunga magoli mengi kipindi Cha kwanza na kitunza energy kipindi Cha pili ili kupunguza majeruhi na kihifadhi energy. Maana ligi bado ni ndefu sana.Of course. Italeta maana pale ambapo timu imeshinda magoli mawili na zaidi ila sio goli moja.
Sana sana kocha anatakiwa atumie kipindi cha kwanza kupiga magoli mengi ili wapinzani wakija kuizoea mechi na kuanza kujiamini wawe wamechelewa.
Waamuzi wetu pia kuna mahala wanakwama. Just imagine goal 🥅 mechi kati ya yanga na geita zilkua offside.
Inazishangaza timu nyingi, Yanga imekata punzi lakini goli halirudi.ni mbinu za kiufundi, ingawa sio kwa ajili ya mechi ijayo kama ulivyosema bali kwa ajili ya kupata matokeo katika mechi hiyo hiyo husika. Ni wakati wetu wa kuvimba, anayesema tunakata pumzi anajidanganya
kwa hiyo kumbe kweli ni kukata pumzi, sio mbinu?Inazishangaza timu nyingi, Yanga imekata punzi lakini goli halirudi.
Hiyo ni kwa mujibu wa wachambuzi wetu wanaosema timu imekata punzi. Hawajiulizi kwanini kama timu imekata punzi timu hazitumii meanya huo kusawazisha? Huo ndio ushahidi kuwa Yanga haikukata punzi bali ni mbuni za kocha Prof. Nabi na benchi lake.kwa hiyo kumbe kweli ni kukata pumzi, sio mbinu?
Utelezi huu wa Yanga tayari umeshawaangusha Simba ngao ya jamii, KMC, Geita na Kagera sugar hadi Sasa. Kikosi Chao ni kipana hatari na kinazidi kuelewana siku hadi siku. Watapigwa tu aisei.hiyo mbinu ya kufunga kagoli kamoko dakika za mwanzo ikishagundulika tu hamtashinda tena game nyie matopwinyo. subiri shida zenu zitaanzia mtakapoanza kutembelea mikoa ya kusini Kule mbeya. sasahiv kuna vigongo vitatu(mbeya kwanza, city na prison)vyote havipo tayari kupoteza match.