Kwa wapenda mpira kipindi mnangoja bonanza la trh 15 uefa wanakupa bidhaa Bora kabisa kesho

Kwa wapenda mpira kipindi mnangoja bonanza la trh 15 uefa wanakupa bidhaa Bora kabisa kesho

Premierleague

Senior Member
Joined
Jun 6, 2025
Posts
166
Reaction score
254
Mpira ulizaliwa ulaya na umeendelea kutunzwa na kuhifadhiwa na wazungu wenyewe huku wakiangalia vituko na maigizo kutoka pande zingine za dunia
Hapo kesho
Portugal ya Ronaldo itataka kumpa heshima huyu mwamba wa soka pale watakapopambana na Spain iliyo mabegani kwa kijana mdogo Lamin Yamal anaecheza na kusoma kijana anaesumbua kichwa Cha Mbape na wapiga kura wa Dembele (wao wanaona ni ghafla sana)
Ila kabla ya hapo tutaangalia ufaransa baada ya mda mrefu sana wakigombea medal ya bronze baina Yao na Germany
Hawa jamaa (wazungu)hawajawahi kosea kwenye suala la burdani kwani kutoka hapo ni June 15 kule state kwa mzee wa viza trump ambapo vilabu 32 vitasumbua tv zetu (hapa Azam wataonesha)
Mi nasema hivi msomali na genge lako mkitaka kuua hii ligi ya bongo ueni tutaendelea kuburudika na soka la ulaya huku tukipoza na Roshin league pale saudia
Imagine kule club world cup Kuna Mbape,Dembele,Aziz ,Ribeiro ,Mitrovic n.k niishie kusema
FOLLOW BACK
 
Kesho hiyo
 

Attachments

  • Screenshot_20250607-093127.jpg
    Screenshot_20250607-093127.jpg
    45.4 KB · Views: 31
EURO WINNERS NAONA WAKINYENYUA KWAPA UEFANATIONS

ngoja mitunze akiba ya maneno... Upepo unaweza kumwendea vyema ronaldo akastaafu kwa kubeba kombe hili.
 
Lamine Yamal mtata de mtatuzi, Bernado Silva, Vitinha Cristiano Ronaldo, Pedro Gonzalez (Pedri), Martin Zubimendi, Fabian Ruiz. weee wazungu nyieeee
 
Lamine Yamal mtata de mtatuzi, Bernado Silva, Vitinha Cristiano Ronaldo, Pedro Gonzalez (Pedri), Martin Zubimendi, Fabian Ruiz. weee wazungu nyieeee
Sema Portugal Wana watu sio poa Ile middle itachafuka
 
EURO WINNERS NAONA WAKINYENYUA KWAPA UEFANATIONS

ngoja mitunze akiba ya maneno... Upepo unaweza kumwendea vyema ronaldo akastaafu kwa kubeba kombe hili.
Hata mi nawapa nafasi Spain ila ni shabiki kamili wa Ronaldo so I wish achukue maana ana mda hajabeba kombe
 
Back
Top Bottom