Kwa wapenda safari na kutalii vya ndanii

Karibu Zanzibar

Zanzibar ni maeneo gani mkuu yanavutia kwa vijana ambayo siyo gharama sana tujipange?

Binafsi nlifika mwaka 2022 sikuridhika., Zanzibar ni kwa kutalii wazungu bwana, pamepoa sana kila mtaa, wale wenzangu namimi ambao mchana beach usiku vibe lazima upachukie.

Lakini nlikuwa nawaza nikipata muda nimlete huyu mtoto wa Kinyakyusa anapaelewa sana japo hajafika. Hebu nielekeze baadhi ya maeneo ambayo ni rafiki ukizingatia bajeti ya kawaida sana
 
Tulipita pale ndani ya bus shalawambe,
Tulikua tumelewa ulanzi toka Iringa,maana gari ilipata pancha tulivyotoka stendi tu.
Tulimuaga konda hao mtaani kunywa ulanzi.
Konda gari imepona kaja kutuita tuondoke, tukarudi kwenye bus.mbele kidogo kwenye kuchimba dawa juu kule kwenye Carrie kuna mapipa ya ulanzi.
Aah konda hakutuangusha alitia mpira wa mafuta mle anavuta ulanzi unamwagika tu tunapasiana.
Konda kalewa balaa, ameegemea mlango kumbe mbovu.😁🤣🤣
Hapo kwenye kona mlima nyang'oro alichomoka na mlango kadondoka makorongoni kule, piga kelelee dereva kasimama tukashuka Kwenda kumtafuta.
Tulimpata ila kachakaa balaa.
Safari ikaendelea.
Tukapiga mzinga tena hapo mlimani kabla hujafika mtera na safari ikaisha hapo.
Tukapiga kiatu hadi mjini mtera.
Kesho mapema tu ndo tukaondoka na bus urafiki kwenda Dom.
That was adventure trip.
Kumbuka 88-90s kulikua hamna lami kule ni tope tu.
 
Inategemea ww unapenda nini

Ila kuna tours hizi hapa

Stone town tours
Spice farm tours
Snorkling and dolphin tour
Historical sites tour
Aquarium tour
Jozani forest tour
Islands tour plus sea food
Zipline tour
Beach tours yani inshort zipo nyingi ni ww tu ukiwa tayari na pesa yako
Ila uhakika mnyakyusa wako ataenjoy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…