Kwa wapenda safari na kutalii vya ndanii

Kwa wapenda safari na kutalii vya ndanii

Hizi bado sijafika ila In shaa Allah nataka nifike ila wale wanokodisha magari ya mbugani hua bei gani?

Mana hua nakwenda na Tax au basi tulokodi
Kwenye 200$ hivi kwa siku
 
Kumbe bei zao hazitofautiani na za Tours za huku kwetu

Ukienda masaa ma3 tu inakua bei gani?
Hapo sijajua mkuu, nimefanya safari karibu siku nzima bwashee ,ila sifikiri kama bei inaweza tofautiana sana
 
Safari moja kipindi cha el-ninyo ilikua lazima tu tufike kati huko toka dar.
Daraja bahi pale limevunjika hamna bus linaenda wala kurudi.
Dom ni kwetu iringa road
Tumekaa pale mwisho wa lami mala londo hilo 109 likaja.
Ingieni twenzetu.
Jamaa nae Swai yule anataka kufikisha zawadi kwake Shinyanga.
Tukakunja kwamtoro.
Pale njiani kwa wahadzabe si tuulikwama tukala nao bata sana tu.
Nakuja na safari ya kurudi
 
Back
Top Bottom