Kwa Wapendanao tu..

Kwa Wapendanao tu..

Niko winja winja babeeeee, siku ni yetu na ililetwa kwa wenyewee.
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji182][emoji182][emoji182]
Woyooooo, nishakuandalia mazawadi kama yote na sehemu ya kukupeleka babe wa mimi, mtoto wa kingoni naijua habari yako [emoji8][emoji8][emoji3059][emoji7][emoji3590]
 
Na nishamaliza kuwa printia tshirts wakati mnapendana mje mnipe maokoto
 
Back
Top Bottom