Kwa wapenzi wa filamu za animations/cartoons (animated films)

Kwa wapenzi wa filamu za animations/cartoons (animated films)

Hahaha sasa katika hiyo penguins of madagascar wamekaa wakaamua kwenda mwezini wakajenga roketi wakaseti umbali wakajichanganya wakaangukia ghorofani.

Huko ghorofani kuna paka kakonda ana njaa vibaya sana anawinda hadi njiwa, sasa kamuona Private akapiga "Ooohh food" wakatokea wakina Skipper akamalizia "A buffet"

Mi nacheka vibaya hapo

Kula like mkuu
 
Nlishawahi kugombana na my last gf alivokua akija geto kila siku anakuta naangalia animation akamaind kinyama kumbe hakujua habari ya animation. Kale kademu kachina kalitajirika kwaajiri ya kung-fu panda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ya kwangu hii hapa
7837dd7291a7ebaa8a9cba8ec8dbec81.jpg

5072e262a9d7c5d95b552616b77e31f4.jpg
691230155698cbf5ee6c6fd1fb5c35aa.jpg
8ea509eada27023e1cf41548f8b01bce.jpg
b00562c37e6ab9e3c87aaacb8055d973.jpg
8c898dd9f2c312b45f27b3fcecaba9b8.jpg
 
i like to move it...move it...i like to move it....mive it, we like to.....move it!!!!!!!!! [emoji126][emoji126][emoji445][emoji443][emoji441]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
There you are.. Alafu alikua anacheza kinoma..
Ni nani aliingiza ile sauti??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom