Safii sana.
Vipi huyu mrembo unampata sonaksh.
Kacheza filamu moja anagawa dozi sana (Kung-fu).
Akabambikiziwa kesi na kisha akapelekwa hospital ya vichaa, jina la filamu limeniponyoka.
View attachment 967560View attachment 967561View attachment 967562View attachment 967563View attachment 967565
Inaitwa Akira, ni mzuri sana huyu dada. Kuna filamu moja amecheza inaitwa Noor nayo ni safi sana.