Nadhani tunawezakukubaliana ya kwamba karne zinavyosonga mbele binadamu tunazidi kupunguza ujinga kwa kiasi flani..Mfano Maendeleo ya teknolia na tiba za magonjwa mbali mbali.
Miaka ya nyuma miaka ya 90 lazima mapungufu yaonekana kwa Wakati huu,hata Mambo ya sasa huenda karne za 30 au zaiidi vizazi vyetu vikaona mapungufu mengi katika Mambo yetu mengi tuliyoyafanya.
Turudi katika burudani.
Unamfahamu Jammwal..?
Wengine humuita Tony Jaa wa India.
Jammwal ni actor kuna filamu yake kali Mara ya kwanza kuiona skuamini inaitwa Commando a one man army.
Huwengine wanasema analeta mapinduzi ya filamu za mapigano India.
Kacheza pia filamu ya force ya mwaka 2014 na John Abraham yeye kacheza kama adui.
Huyu bwana ni hatari sana.