Kwa Wapenzi wa Filamu za Kihindi (Bollywood Films)

Kwa Wapenzi wa Filamu za Kihindi (Bollywood Films)

................Mambo ya Sterling kufia kwenye mauwa hayo!mtu anapigwa risasi pale ilipopita panaanza kuwa na ishara ya damu kabla hapajatoboka.

Hatari sana!

Mkuu upo mbali sana unazungumzia mambo ya miaka ya 90 huko. Hebu tafuta vitu vya post 2000 uone.
 
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png

Rakhi Sawant alisema Tanushree Dutta alitaka kumbaka

Yeah niliona ile.

Rakhi kichaa yule....ila mzuri!
 
Sipendi muvi za bollywood
Ila sipendi zaidi kuangalia tibisii
 
Sijui uzee au nini picha yangu ya mwisho kuangalia ya kihindi ilikuwa aandhir tofaan mwaka 1986 staring alikuwa shash kapoor humo bibie hema malin pale shatrunghan sinha jambazi dany denzongpa
Hahaha!! Umetisha Mkuu..

Dany denzongpa...kitambo sana.
 
Mi nawapendaga wachuchu wao tu.

Tanushree Dutta....Rakhi Sawant....
Heshima kwako brother kaka,

Hakika wanawachuchu Wakali wakiongozea na mekapu ndio inakuwa balaa.

Kuna mchuchu mmoja anaitwa Genelia D'souza yupo katika filamu ya Force alicheza na John Abraham.

Alikuwa kapendeza mno,Toto lilikuwa safi sana.

Mara ya kwanza kuicheki filamu hii ilibidi niingie Wikipedia kutafuta taarifa zake niikakuta kashapata matuzo kibao mara ya mwanamke mwenye tabasamu lenye mvuto,sura yenye mvuto nk.

Bollywood wanajitahidi kupata wachuchu Warembo/Wazuri/Mvuto.
 
Bollywood wamekuwa wapuuzi nowadays.. Movies zao mbovu sana..
Kama hii thug of Hindustan na 2.0 nilishindwa zimaliza nilikaa nusu Saa nikasepa..
Ukitaka burudani za kihindi ingia Tamil.. Kuna dude linatoka mwezi huu.. KGF.. Angalia trailer
Sawa-sawa. Mimi mw enyewe nikiona filamu sielewi/haini vutiii huwa naachana nayo

Au wakongwe Saizi wamechoka akina Akshey Kumar, Khan, Salumn,S unil, Amri, sanji,, bob, Ajay' ?

Kunakipindi flani nilisitisha kutazama baada ya kuona hawa jamaa hapo juu umri unawatupa mkono.

Bollywood, Kollywood, Tollywood
 
Movie zilikua enzi izo, wachuchu wakali na mastering wa ukweli
Raveena tandon
Kajol
Sonum
Karishma kapoor
Shakti kapoor
Samrat
Dimple kapadia
Madhur dixit
Juwli chawla
Nasoordin shah
 
................Mambo ya Sterling kufia kwenye mauwa hayo!mtu anapigwa risasi pale ilipopita panaanza kuwa na ishara ya damu kabla hapajatoboka.

Hatari sana!
Nadhani hii ilikuwa ni miaka ya nyuma kidogo kabla ya ukuaji wa kasi wa teknolijia labda waweza kuongezea pia Udhaifu katika utunzi wa stori.

Jaribu kuangalia hata filamu za hongkong miaka hiyo ya nyuma ambaye Ndio alikuwa baba wa filamu za mapigano utaona zinapangufu madogo madogo ambayo kwa kiasi filamu za sasa zinayaziba..
Hongkong ( incredible kung fu mission,ninja hunter )

Hata ukiangalia baadhi ya filamu za kibongo za nyuma kunabaadhi ya mambo kwa wakati huu yameondolewa kwa kiasi iwe ni kwa teknoljia au utunzi wa stori.

Kila jambo huwa na udhaifu wake,kila jambo ukilitazama kwa udhaifu itakuwa hatari pia madhaifu yanakiwango chake na sababu zake.

Kubwa zaiidi nikupata buradani & Elimu katika filamu.

Pamoja kamanda.
 
Mkuu upo mbali sana unazungumzia mambo ya miaka ya 90 huko. Hebu tafuta vitu vya post 2000 uone.
Nadhani tunawezakukubaliana ya kwamba karne zinavyosonga mbele binadamu tunazidi kupunguza ujinga kwa kiasi flani..Mfano Maendeleo ya teknolia na tiba za magonjwa mbali mbali.

Miaka ya nyuma miaka ya 90 lazima mapungufu yaonekana kwa Wakati huu,hata Mambo ya sasa huenda karne za 30 au zaiidi vizazi vyetu vikaona mapungufu mengi katika Mambo yetu mengi tuliyoyafanya.

Turudi katika burudani.

Unamfahamu Jammwal..?

Wengine humuita Tony Jaa wa India.

Jammwal ni actor kuna filamu yake kali Mara ya kwanza kuiona skuamini inaitwa Commando a one man army.

Huwengine wanasema analeta mapinduzi ya filamu za mapigano India.

Kacheza pia filamu ya force ya mwaka 2014 na John Abraham yeye kacheza kama adui.

Huyu bwana ni hatari sana.
 
Ahsantee.

Kwa kiasi flani wapo vizuri comedy.

Kuna romantic comedy ya mwaka 2006 yakuitwa Pyaar side effects (The Side effects of love) imechezwa na Rahul Bose ni nzuri inachekesha mno.

Iyo film safi sana, Nilikua simfagalii kabisa Rahul Bose lakini baada ya kuitizama movie hiyo alinibidi jamaa nianze kusaka kazi zake.

Kuna na Sequel yake inaitwa Shaadi ke side effects Kacheza Farhan Akhtar na Vidya Balan nayo ni safi sana.
 
Nadhani tunawezakukubaliana ya kwamba karne zinavyosonga mbele binadamu tunazidi kupunguza ujinga kwa kiasi flani..Mfano Maendeleo ya teknolia na tiba za magonjwa mbali mbali.

Miaka ya nyuma miaka ya 90 lazima mapungufu yaonekana kwa Wakati huu,hata Mambo ya sasa huenda karne za 30 au zaiidi vizazi vyetu vikaona mapungufu mengi katika Mambo yetu mengi tuliyoyafanya.

Turudi katika burudani.

Unamfahamu Jammwal..?

Wengine humuita Tony Jaa wa India.

Jammwal ni actor kuna filamu yake kali Mara ya kwanza kuiona skuamini inaitwa Commando a one man army.

Huwengine wanasema analeta mapinduzi ya filamu za mapigano India.

Kacheza pia filamu ya force ya mwaka 2014 na John Abraham yeye kacheza kama adui.

Huyu bwana ni hatari sana.

Mkuu huyo si yule aliecheza kwenye filamu ya Bullet Raja ya Saif Ali Khan?
 
Ahsantee.

Kwa kiasi flani wapo vizuri comedy.

Kuna romantic comedy ya mwaka 2006 yakuitwa Pyaar side effects (The Side effects of love) imechezwa na Rahul Bose ni nzuri inachekesha mno.

Kitu ninachokipenda zaidi kwenye filamu za bollywood ni ule u realistic situation, Michezo mingi unakuta inaenda halisi kabisa na mazingira ya kimaisha hata kwa sisi waafrika.. Kama hizo side effects films.
 
movie zilikua enzi izo,wachuchu wakali na mastering wa ukweli
raveena tandon
kajol
sonum
karishma kapoor
shakti kapoor
samrat
dimple kapadia
madhur dixit
juwli chawla
nasoordin shah
Ongeza hapo rena Roy
Shabana Azim
Meenaksh
Aruna Iran
Neetu Singh
Rekhash roshan
 
Back
Top Bottom