Kwa Wapenzi wa Filamu za Kihindi (Bollywood Films)

Kwa Wapenzi wa Filamu za Kihindi (Bollywood Films)

[emoji23] [emoji23] [emoji23] umakini wote unapotea
Kwakweli aisee!

Bahati mbaya aanze kukusalimia waweza kujikuta unamjibu yasiyoeleweka unakuwa huamini amini amini.

Bollywood wanafilamu nzuri sana za Mahaba/malavidavi.
 
Tarzan (film 1985).

Moja ya Filamu nzuri na Kali.

Kipindi tukiwa wadogo tuliipenda sana.
Mtoto mzuri rubby kazalishwa watoto saba kwa mpigo na Tarzan,bila kumsahau Jitu kubwa liwangaji.
kabisa mkuu, ila nilipenda sana milio ya bastola na mateke yao😀😀😀
 
kabisa mkuu, ila nilipenda sana milio ya bastola na mateke yao😀😀😀
Mtaani kwetu tulikuwa tukisia Filamu inaonyeshwa kwenye vibanda basi lazima tukaitazame.

Mpaka waleo ni nafull songs za Tarzan..nikiwa free huwa nazisikiliza.
 
Dhoom zote..

Players

Kuch kuch hota hai

Koi Mil Gaya

Bang Bang

Dilwale

The Don

etc....
 
Niliangalia movie moja tu ya kihindi kuanzia mwazo hadi mwisho nikaipenda inaitwa BAHUBALI part two yake napanga kuiangalia.
 
1504037609907.jpg

Chori chori chupkechupke (secretly and stealthily)


Kahaba(preity zinta) anapewa mkwanja ili aweza kuwazaliwa Mtoto Familia ya Salumn Khan baada ya mke wake kutoweza kupata Mtoto. Filamu inagusa Hisia za moyo.

Moja ya filamu Safi kabisa, 2001.
 
1504037967347.jpg


Qayamat(city under threat)..Ajay devgan.

Time:3 hours.
2003..release date.
 
1504044351403.jpg


Qahar..
1997
Time: 2 hrs 41m.
Filamu nzuri, stori nzuri ya filamu ikichanganywa na mapigano.
 
1504044721275.jpg


Jani dushman.
2002..
Filamu nzuri sana iliyokusanya mastar kibao wa Bollywood. Sunil shetty, Sunny deol,akshey Kumar n.k.

Mauaji ya kuchawi-kichawi, jitu linalobadilika sura ya kila aina, hata sura yako.
 
1504045176877.jpg


Jeet..
1996.
Time: 2 hrs 40m

Muhuni/katili/mshenzi sunny deol aliyezama katika penzi la mwanadada mrembo karisma kapoor.

Filamu nzuri sanaaa...!bila kusahau sukari ya warembo Salumn Khan kashiriki.
 
1504046841598.jpg


Tarzan
Filamu Safi sana. Binti mrembo aliyezama katika penzi la binadamu aliyekulua maisha yake yote porini huku marafiki wake wakiwa wakiwa ni tembo na chui, Simba, ndege na nyani.

Moja ya filamu zilizo pata umaarufu mkubwa pamoja na nyimbo zake tamu na zenye muguso wa moyo

Filamu yangu ya kwanza katika kutizama Indian movie's mwaka 2000.
 
Nawaona mumekua mukieleza movie za zamaani, nina muvie za kihindi kama 200 kwenye komputer yangu. Kuna movie mpya nzuri tu za miaka 2012 - 2016 zilizotoka. Kila baada ya miezi 6 naingia na kuangalia movie gani zimetoka za kihindi halafu naangalia. Hizi hapa umeziona?
Student of the year
Dilwale
ek the tiger
Fan
 
Nawaona mumekua mukieleza movie za zamaani, nina muvie za kihindi kama 200 kwenye komputer yangu. Kuna movie mpya nzuri tu za miaka 2012 - 2016 zilizotoka. Kila baada ya miezi 6 naingia na kuangalia movie gani zimetoka za kihindi halafu naangalia. Hizi hapa umeziona?
Student of the year
Dilwale
ek the tiger
Fan
unazipataje hizo muvi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom