Kwa Wapenzi wa Filamu za Kihindi (Bollywood Films)

Kwa Wapenzi wa Filamu za Kihindi (Bollywood Films)

Kick
Zindagi na milegi dobara
Karthik calling Karthik
Flying jet
Baag
Bang bang
Two states
Kaabil
Goolmal again
Commando 2
Jolly llb
 
Wafia muvi wenzangu za kihindi nimeweka jukwaa hili spesheli kwa ajili yetu.

Sio kwamba sipendi muvvi zingine la hasha huwa naangalia sana tu isipokuwa za kibongo! iIla bado itabaki kwamba wahindi wako vizuri katika industry tena sana sababu wao wameanza kuekti mwaka 1950. Ziko muvi ukiangalia utapata hisia yaani zitakugusa hadi hata ulie.ukisema action kidogo wahindi wako vizuri kama Hollywood tu kwa sasa!

Kuna muvi za Kihindi ukiangalia kweli zitakugusa tena zikiwa translated yaani utaenda hata kukojoa! Hizi ndo muvi ambazo sichoki kuona:

Housefull3
Dilwale
Fan
Rowdy Rathore
Bombay Velvet
Super Man Shenshaa
Dabbang2
Singhan Return
Fying Jyhaat

Katika nnaowakubali kweli nitakuwa mchoyo nisipomtaja akshay kumar huyu ndo my favorite kuna shahrukhan, Salman Khan, Ajay wote hao ni shida tupu!

Hembu weka na ww na maujanja yako unayojua kuhusu wadosi.
 
Mkuu kuna ile muvi steringi mwishoni anafia kwenye maua nmeisahau jina,utakua unaijua?
 
adden,

Mimi nilikuwa miongoni mwa wapenzi wa Filamu zao.

Nazaiidi ya Miaka mitano sijatazama tena.

Hao akina Salman Khan,Akshey Kumar,Ajay devgan,Sunil shetty,Bobby deo ,Shankar,Amir Khan washakuwa wazee umri umekwenda hivyo katika Filamu za mahaba ya dhati hawavutii sana kama kipindi cha ujana wao.
 
Return of sigham...hivi mwanaume ni kweli ukikutana na binti alokuvutia unakuwa zoba ghagla?
 
Tarzan (film 1985).

Moja ya Filamu nzuri na Kali.

Kipindi tukiwa wadogo tuliipenda sana.
Mtoto mzuri rubby kazalishwa watoto saba kwa mpigo na Tarzan,bila kumsahau Jitu kubwa liwangaji.
 
return of sigham...hivi mwanaume ni kweli ukikutana na binti alokuvutia unakuwa zoba ghagla?
Hii ina ukweli kiasi kikubwa,

Unajikuta mwili umepata gazi,mdomo unakuwa mzito sana.

Ni hatari aisee akili unajikuta inahama unakuwa kama zwazwa.
 
Back
Top Bottom