flintsky
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 654
- 746
Hata mimi sikuwa mpenz sana wa hizi muvi hasa zile zenye uongo mwingi za mapigano.ila hata hollwood hawaifikii bollywood kwa muvi stori za mapenzi na drama.wahindi wanaekti banaHii movie ilivyotoka nakumbuka nilikuwa India wali I advertise balaa.nikaamua kwenda cinema nilivyoenda nimeuliza kama kuna subtitle wakaniambia hamna only in Hindi. Ikanibidi nisiione.ingawa kuna wabongo wengine movie ya kihindi wakiiangalia wanaitafsiri kwa kiswahili sawasawa.wanaelewa.zamani nilikuwa mpenzi sana wa hizi movie baada ya kuiona baazigar ya sharukhan ila sio sasa