Kwa Wapenzi wa Filamu za Kihindi (Bollywood Films)

Kwa Wapenzi wa Filamu za Kihindi (Bollywood Films)

My best movie kutoka uhindini ni Bajrang Bhaijan.
Sina uhakika na spelling ila ni ya salman Khan.
High way pamoja na 2 state.
My favorite actress ni Aliaa Bhatt.
 
Naikubali Sana ile ya janwaar. But kuna movie moja ya kihindi clip zake zilisambaa Sana. Mchiz Yupo Na Dem Wanapendan Sana bdaye kwenye utani hv jamaa anatembea kwenye vitofali vya pemben ya barabara ghafla Dem anamskuma Mchiz anadondokea kwenye barabara... Af kuna Benz moja inamptia jamaa anakufa Dem alilia Sana!..pls Mwenye kujua jina La ile movie naitafta Sana wakuu
 
Kwa maelekezo ingia you tube, andika HOW TO ADD SUBTITLE TO A MOVIE
 
Back
Top Bottom