diara diara
Member
- Oct 25, 2016
- 25
- 26
Yule ndo king of Bollywood na ana deserveshah rukh khan huwa anafit kila kipengele...hakosei
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule ndo king of Bollywood na ana deserveshah rukh khan huwa anafit kila kipengele...hakosei
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umakini wote unapoteaHii ina ukweli kiasi kikubwa,
Unajikuta mwili umepata gazi,mdomo unakuwa mzito sana.
Ni hatari aisee akili unajikuta inahama unakuwa kama zwazwa.
Kwakweli aisee![emoji23] [emoji23] [emoji23] umakini wote unapotea
kabisa mkuu, ila nilipenda sana milio ya bastola na mateke yao😀😀😀Tarzan (film 1985).
Moja ya Filamu nzuri na Kali.
Kipindi tukiwa wadogo tuliipenda sana.
Mtoto mzuri rubby kazalishwa watoto saba kwa mpigo na Tarzan,bila kumsahau Jitu kubwa liwangaji.
Mtaani kwetu tulikuwa tukisia Filamu inaonyeshwa kwenye vibanda basi lazima tukaitazame.kabisa mkuu, ila nilipenda sana milio ya bastola na mateke yao😀😀😀
Hii movie inahuzunisha mnoKal ho naho. Hii movie ilimtoa machozi dem wangu.
tumetembea sawa sema acha niongezee hapo THE BORDGUARD,KABHI GHUSH KABHI HAMDhoom zote..
Players
Kuch kuch hota hai
Koi Mil Gaya
Bang Bang
Dilwale
The Don
etc....
unazipataje hizo muviNawaona mumekua mukieleza movie za zamaani, nina muvie za kihindi kama 200 kwenye komputer yangu. Kuna movie mpya nzuri tu za miaka 2012 - 2016 zilizotoka. Kila baada ya miezi 6 naingia na kuangalia movie gani zimetoka za kihindi halafu naangalia. Hizi hapa umeziona?
Student of the year
Dilwale
ek the tiger
Fan