Kwa Wapenzi wa Filamu za Kihindi (Bollywood Films)

Kwa Wapenzi wa Filamu za Kihindi (Bollywood Films)

Mambo ya Stockholm syndrome...Hii filamu ipo vizur HIGH WAY

220px-Highway_Hindi_Film_Poster.jpg
 
Niko Sony naangalia hamari adhuri kahaan ya emran hashmi na vidya balan
 
Raynavero:

Safii sana,anasema very nice.

Mimi nipo nasikiliza song's,

Chori chori chupke chupke salman khan akiwa na mwanadada mwenye dimpoz shavuni Preity G Zinta.

&

Kalho Naa ho,( Tomorrow may never come) King khan & preity G zinta.
 
Raynavero:

Safii sana,anasema very nice.

Mimi nipo nasikiliza song's,

Chori chori chupke chupke salman khan akiwa na mwanadada mwenye dimpoz shavuni Preity G Zinta.

&

Kalho Naa ho,( Tomorrow may never come) King khan & preity G zinta.

Kal ho naa ho iache tu iyo filamu mkuu. Shahrukh Khan na Saif Ali khan walikuwa kwenye ubora wao kabisa.
 
Kal ho naa ho iache tu iyo filamu mkuu. Shahrukh Khan na Saif Ali khan walikuwa kwenye ubora wao kabisa.
Yes...yes.

Bonge la filamu hilo.

Hasa Ile "sound track"/au biti inayosikika kwa chinichini ndio ilamaliza kilakitu.
 
Bollywood wamekuwa wapuuzi nowadays.. Movies zao mbovu sana..
Kama hii thug of Hindustan na 2.0 nilishindwa zimaliza nilikaa nusu Saa nikasepa..
Ukitaka burudani za kihindi ingia Tamil.. Kuna dude linatoka mwezi huu.. KGF.. Angalia trailer
Hao TAMIL ni watu wengine KABISA, wana TV ZAO,,RADIO yao,,,LUGHA YAO..na BOLLYWOOD YAO...na wana ACTORS na ACTRESS WAO...Hao HINDU walikuwa zamani,,,ndy wanaigiza MOVIE HADI UNALIA,,sio sasa,,,,hapana KITU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui uzee au nini picha yangu ya mwisho kuangalia ya kihindi ilikuwa aandhir tofaan mwaka 1986 staring alikuwa shash kapoor humo bibie hema malin pale shatrunghan sinha jambazi dany denzongpa
Mkuu,,, una KUMBUKUMBU nzr,,ila andhar tofan starring ni MITHUN CHAKARABOT na SHATRA GAN SINGHA....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama umeangalia sholay au disco dancer ama kasam paida karne walek au shan na naseeb pana ladha huwezi kuipata kwa vijana wa sasa.
Kweli mkuu,,,kuna KALIA,,COOLIE,,GIRAFTAH,,DOSITANA,,GANGA JAMUNAH...,,MARD,,AMITAH batchan,,,,KARATE,,DANCE DANCE,,WANTED,,EK AU SIKANDAR,,MITHUN CHAKRABOAT,,,SAAGAR KINARE,,,SANAM TERI KASSAM, starring ,KAMAL HASSAN,,JAN BAAZ,,QURBAN,,FEROZ KHAN,,kuna movie inaitwa NOORIE hatari sn,,,kuna movie inaitwa MAIN TULSI TWRI YAA NGANI KI..hatari sana mkuu,,,masong yametulia,,sio MADISCO DISCO...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom