Alisina
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 4,178
- 4,449
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Juzi nilikuwa natazama Filamu ya Sanju ipo vyema.
Bwana Mdogo Ranbir Kapoor kafanya vyema.
SANJU-Historia ya Maisha ya bwana Sanjay Dutty huku ikijikita zaiidi katika Madawa na Gun- Mabomu ya Bombay 1993.
Wengine hudai labda ilikuwa ikijaribu kumsafishaa Bwana Sanjay.
Jamaa alikuwa Mtata Warembo zaiidi ya 100 bila kusahau kumvua Night Dress Mrembo wa Rafiki yake
Filamu ipo vyema.
It's Emotional,It's Sad,It's Funny....It's Bittersweet.
Bollywood Star bad boy.Sanjay Dutty.
View attachment 990535
Sent using Jamii Forums mobile app
Ntaitafuta ndgu hii na kuleta mrejeshoAngalia hii movie mkuu nadhani itakufaa kabisa View attachment 1046333
Naitafuta sana Movie inaitwa Shoot out at Wadala ya John Abraham
Hizo ndio zenyewe yaani zilikuwa Tamu sana hasa mard tangewala na ganga jamuna saraswati Ongeza hizi:- Kaalia, Mr. India, LOHA na Disco dancer.Mimi zamani yangu ilikuwa andhal kanoon, ganga jamunaa salaswati, sholay, naseeb, mard, hapo kina dharam (dharmendra )amith batchan huku hema malin kule amjad khan pale neetu Singh kule Aruna Iran bado wabichi kabisa