Kwa Wapenzi wa Filamu za Kihindi (Bollywood Films)

Kwa Wapenzi wa Filamu za Kihindi (Bollywood Films)

Daaa sijui ni mm tu au Kuna wengine pia hiz movie zishanishinda action sufuri uhalisia kama Hollywood ndo zeero kabsaa naonaga kama bongo movie waliochangamka tu wakuu samahan kwa kuwaingilia jukwaa lenu endeleeni Ku enjoy
 
Yaan usingeiweka veer zaar uzi ungekosa mvuto....hii muvi nliaangalia usiku aseeh nliliaa kinoma...sharkur khan anajua aseeh....ina hisia kama zotee
[/QUOTEVeerzaar kweli nzuri tafuta movie inaitwa barfi utaichoka kuangali ndug yngu
 
Filamu za Kihindi hasa za Zamani miak ya 2000 kurudi nyuma zilikua zinaliza watu sana kutokana na Maudhui yake. Hii ni orodha fupi ya Filamu hizo:

1. Khoon Bhari Maag (Rekha ya Mamba)
2. Andhaa Kaanona (Amithabh Batchan)
3.Terimeheri Baaniyan /Mbwa na bubu (Jackie Shrof)
4.Disco Dancer (Mithun Chakraboth)
5. Kuch kuch Hota hai ( SRK)
6.Jaanwar (Akshay Kumar)

Ongeza zingine tukumbushane kama umewahi shuhudia filamu zilizo liza watu/watazamaji
 
Siku hizi movie za kidosi hovyo kabisa,graphics tu,
Zamani unatizama movie ya kidosi mpaka unajihisi kama vile unatizama uhalisia coz akili inahamia kwenye movie kwa jinsi movie ilivyokua na uhalisia! siku hizi ukitizama movie za kidosi akili yako inajua kabisa kua unatizama kitu cha uongoa.
 
Mzee zile ngumi za kihindi kina mithun ndio unasema ulikuwa unaangalia unaona uhalisia kabisa😂😂😂 umetisha mzee
 
Back
Top Bottom