Kwa Wapenzi wa Filamu za Kihindi (Bollywood Films)

Kwa Wapenzi wa Filamu za Kihindi (Bollywood Films)

Bila kusahau hizi story bomba napenda pia na songi zote zilizomo kwenye hizi filamu...
Jo Jeeta Wohi Sikandar
Muqaddar Ka Sikandar
Mr India
Trishul
Gopi Kishan
Hum Kisise Kum Naheen
The Great Gambler
Mere Apne
Amar Akbar Anthony
Hatya
Zanjeer
The Train
Kati Patang
Amar Prem
Roti Kapada Aur Makaan
Nami niendeleee....?
 
Kila nikiiangalia hii lazima machozi yanitoke, moyo ujawe na huzuni na masononeko mingi moyoni, yaani huwa nafeel kama ndio imenikuta mimi vile....[emoji2817][emoji2817][emoji2817]

ˡ ˡⁱᵏᵉ ᵇⁱᵍ⁻ᵗⁱᵗᵗʸ ʷᵒᵐᵃⁿ [emoji377]
Balaa kabisa mkuu .yaan wahind kwa kutunga storry wanajua aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tafuta movie inaitwa DHADKAN, kama ni mpenzi wa love story utaipenda sana
 
Koyla
Sholay
Mere ram mere
Ashok
Sangdil sanam
Andhaa kanoon
Sita awa gita
Sajaan
Koi mil gaya
Imtihan
Dilwale
Dilwale dilhania di jayenge
Suhaag
Plat form
Deedar
Soldier
Chori chori chupke chupke
Qayamat se qayamat tak

Kama bado sema niendelee...

ˡ ˡⁱᵏᵉ ᵇⁱᵍ⁻ᵗⁱᵗᵗʸ ʷᵒᵐᵃⁿ [emoji377]
Kuna movie moja naitafuta. Star ni Bob Deo na Akishay Kumar. Movie hii Akshay anamchezea Bob Deo mchezo mbaya, wanatoka wote kupiga masanga, wakati Deo kazima wanabadilisha mademu. Deo analala kwa Akshey, na Akshey ana kwenda kwa Deo. Sasa hapa Akshay anamuua demu fulani Kisha anamlaza kwa Deo then demu wa Akshey anasepa Kisha jumba bovu linamuangukia Deo na kupelekwa Segerea. Wakati Deo yuko segedansi Akshey anakwenda kufanya mpango wakuiba pesa kadi ya Bank nakutak kuhamishia mkwanja wote Katika akaunt yake na kutaifisha nyumbani. lkn baade Deo anafanikuwa kutoroka Segerea na kuanzia kumsaka Akshey. nimeeleza kwa kifupi. Ila ni bonge la movie. Nimesahau jina.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom