Kuna movie moja naitafuta. Star ni Bob Deo na Akishay Kumar. Movie hii Akshay anamchezea Bob Deo mchezo mbaya, wanatoka wote kupiga masanga, wakati Deo kazima wanabadilisha mademu. Deo analala kwa Akshey, na Akshey ana kwenda kwa Deo. Sasa hapa Akshay anamuua demu fulani Kisha anamlaza kwa Deo then demu wa Akshey anasepa Kisha jumba bovu linamuangukia Deo na kupelekwa Segerea. Wakati Deo yuko segedansi Akshey anakwenda kufanya mpango wakuiba pesa kadi ya Bank nakutak kuhamishia mkwanja wote Katika akaunt yake na kutaifisha nyumbani. lkn baade Deo anafanikuwa kutoroka Segerea na kuanzia kumsaka Akshey. nimeeleza kwa kifupi. Ila ni bonge la movie. Nimesahau jina.
Sent using
Jamii Forums mobile app